Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Hekima iliyokuwa ndani ya Sulemani ilikuwa ikumuongoza katika kupambanua ama kufahamu mambo mengi sana, ambayo pia kwetu yanafanyika kuwa ni msaada mkubwa sana kama tukiyasoma na kuyaelewa na kuamua kuchukua hatua.! Hivyo upo uhusiano mkubwa kati ya Uvivu na umasikini, maaana umasikini hauwezi kuja pasipokuwezeshwa na ..

Read more

Neno injili limetoka na neno la kigiriki euaggelion lenye maana ya “HABARI NJEMA” Kwahiyo maana kuu ya Injili kibiblia ni Habari njema za Yesu Kristo neno la Mungu linasema Luka 2:8 “Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. 9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa ..

Read more

Tusome… Mithali 18:18 Kura hukomesha mashindano;  Hukata maneno ya wakuu. Upigaji wa kura ni njia iliyotumika kuleta suluhisho la jambo fulani, lililo hata Katika utata, ni njia pia iliyoweza kuchagua, viongozi, wamiliki na wenye mamlaka..  Wakati mwingine njia hii pia Mungu anairidhia ili kuleta majibu sahihi kulingana na jambo husika, ndo mana tukiangalia mfano wa ..

Read more

Tusome… Wimbo 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni MIALI YA YAHU”. Neno YAHU lina maana zaidi ya moja,ni jina lingine la YAHWE” ambalo ndilo “YEHOVA Kutoka ..

Read more

Kibiblia baradhuli ni mtu anayefanya jambo na anajua kabisa si sawa mbele za Mungu, mtu  kama huyo anafananishwa  mpumbavu mtu asiyefaa, anayevuka mipaka. Watu hawa hutawatambua Kwa tabia hizi, kulingana na maandiko    WATU WANAOMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA Watu kama hawa ni mabaradhuli Kwa sababu anafanya jambo ambalo anajua kabisa mbele za Mungu ni ..

Read more

Maandiko yanaeleza wazi juu mtu aliye ishi miaka mingi katika biblia ukisoma Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia na themanini na saba, akamzaa Lameki. 26 Methusela akaishi baada ya kumzaa Lameki miaka mia saba na themanini na miwili, akazaa wana, waume na wake. 27 Siku zote za Methusela ni miaka MIA KENDA NA SITINI NA KENDA, ..

Read more