Noeli ni nini?

Uncategorized No Comments

Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe.

Karibu tujifunze neno la Mungu wetu, ambalo ndilo chakula cha roho zetu.

Je! Noeli ni nini?

Noeli ni neno la kilatini linalomaanisha (siku ya kuzaliwa) kuzaliwa kwa Bwana na mwokozi wa ulimwengu, Yesu kristo. Kwa kifaransa linaweza kumaanisha “habari njema” au “msimu wa krisimasi” kwa ujumla.

Hivyo ni neno linalomaanisha kusheherekea au kutangazwa Kwa habari njema ya kuzaliwa kwa Bwana Yesu duniani. au msimu wote wa sikukuu ya krismasi kwa ujumla. Disemba 25

Lakini neno ili hutaliona limeandikwa mahali popote katika Biblia, neno hili utalisikia sana kwenye baadhi ya madhehebu kama vile katoliki, Anglikana, na Lutheran.

Lakini je! ni sawa kwa wakristo kusheherekea Noeli/Krisimasi? Ni kweli Yesu alizaliwa Disemba 25..? ili kufahamu Kwa kina juu ya siku halisi ya kuzaliwa Kwa Yesu fungua link yetu hii >>.

Je umeokoka? Je! Kristo amezaliwa moyoni mwako? Fahamu kuwa Hakuna njia nyingine yoyote ya kufika Mbinguni, isipokuwa Kwa kupitia Yesu Kristo pekee.

Ikiwa Leo upo tayari akusamehe dhambi zako na kukupa uzima wa milele Bure, akufanye kiumbe kipya basi wasiliana nasi Kwa namba uzionazo chini ya SoMo hili Kisha tutakusaidia Kwa Mwongozo wa kimaombi Bure.

Bwana akubariki

Tafadhari share ujumbe huu na watu wengine Kwa mawasiliano zaidi +255693036618/+255789001312

NURU YA UPENDO” Kwa kubofya hapa>> WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *