Category : Maswali ya Biblia

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Mungu muumba wetu. Neno la Bwana linasema. Ufunuo 1: 17 “…Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, 18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu”. Alimaanisha kuwa hizo funguo Yesu hakuwa ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu.. Jibu; Hapana hakuna tofauti yeyote katika maneno haya mawili, lakini yana maana moja, na tafsiri ya jina hili ni “paradiso ya raha” hivyo maneno haya hayana tofauti yeyote Ukisoma baadhi ya vifungu katika biblia utakutana na maneno haya mawili, Edeni na Adeni Tusome ..

Read more

Karibu mpendwa tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Je? Wanadamu wa kwanza aliowaumba Mungu walikuwa wana namna gani? Walikuwa wa rangi gani? Ni vyema tufahamu maandiko hayajaeleza shemeu yoyote kuwa mtu wa kwanza alikuwa mzungu,mwafrika,Mwarabu nk lakini aliumba watu wawili pale Edeni ambao ni Adamu na Hawa nao walikuwa ni jamii ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Andiko hili linamaanisha nini kusema“usimuache rafiki yako wala rafiki ya baba yako….” Tusome mstari huu… Mithali 27:10 “Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali. Andiko hili linatufundisha ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno y uzima ya mwokozi wetu. Kuungama ni kukubali au kukiri jambo wazi wazi pasipo kupindisha wala kusema uongo. Mfano Kama mtu mwenye dhambi ambae amedhamiria kumpa maisha yake Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wake. Kwa kutoka katika giza na kuingia Nuruni huyo ..

Read more

Uchawi ni jambo lolote linalofanyika nje na nguvu za Mungu, kwa sababu hakuna nguvu nyingine inayofanyika nje na nguvu za Mungu zaidi ya shetani.. Na uchawi umebeba mambo mengi, baadhi yake ni kuloga, kuagua, kutazama utabiri wa nyota, kubashiri, kusihiri, kuabudu sanamu, mambo haya huwaaminisha watu kuwa wanaweza kupata msaada tofaututi na nguvu za Mungu ..

Read more