JIBU.. Maandiko hayajatupa uwazi wa moja kwa moja wa kuelewa kama waliokoka au hawakuokoka pindi walipofahamu uovu walioufanya.. Tukiliangalia hili neno Kuokoka tunakuja kuliona kwenye kipindi chetu cha Agano jipya likiwa na maana ya kukombolewa kwenye uharibifu wa hukumu ya Mungu iliyoikumbuka ulimwengu mzima kwasababu ya dhambi kupitia kifo cha Mwokozi Yesu Kristo anayetuokoa sisi ..

Read more

Jina la Bwana Yesu kristo Lihimidiwe. SWALI: JE! _Bisi ni Nini kama ilivyotumika katika kitabu Cha Ruthu 2:14 na Walawi 23:14_ JIBU: Bisi ni kama tunavyofahamu kwa mazingira yetu kwamba ni yale Mahindi yanayokaangwa na kufutuka, na kuwa na mwonekano mwingine wenye weupe weupe hatimaye kuliwa. Maarufu zaidi kwa jina la kigeni “popcorn” Lakini kwa ..

Read more

Jina la YESU kristo Lihimidiwe. Karibu tujifunze Biblia Wimbo Ulio Bora 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.” Kwanza kabisa KIMIAMI ni dirisha kubwa lililo katika GHOROFA. Hivyo Madirisha makubwa yaliyo katika ghorofa (sio yaliyo katika nyumba za chini)ndiyo hayo huitwa kimiami. Mfano ni ..

Read more

Swali:Je ni kweli nchi au dunia iligawanyika? Je iligawanyika kwa namna gani? Je haya mabara saba yaliyopo yalitokana na huo mgawanyiko? JIBU Mwanzo 10:25 “ Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana KATIKA SIKU ZAKE NCHI ILIGAWANYIKA; na jina la nduguye ni Yoktani”. Ukisoma zaidi sura ya 11 katika kitabu hicho ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya Mungu… Baadhi ya watu wanafikiri kuna mahali shetani amefungwa na atakuja kufunguliwa badae na wengine wanaamini anaishi kuzimu au chini ya bahari sehemu ambayo ameweka utawala wake unaofanana na wa hapa duniani.. Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kwamba shetani hajafungwa na wala haonekani katika umbo la mwili ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe karibu katika kujifunza maneno ya Uzima.. JIBU Jambo la kwanza kulifahamu na kulikumbuka kila wakati ni kuwa katika lugha yetu ya kiswahili neno ELOHIM, hamna mahali linaonekana likitajwa katika biblia yetu kwasababu halipo katika lugha ya kiswahili. Neno Elohim ni neno ambalo lipo katika lugha ya Kiebrania likiwa linamaanisha MUNGU… ..

Read more