SWALI: Naomba majibu ya swali hili, Je! Ni kweli Ibrahimu na sara walikuwa ni ndugu wa baba mmoja kulingana na (Mwanzo 20:12)? Na kama ni ndio, kwanini Mungu aliruhusu Ibrahimu kumchukua ndugu yake..
Category : Ndoa na Mahusiano
Tofauti na inavyodhaniwa na wengi kuwa, mke anapaswa kutii kila kitu kutoka kwa mumewe hata kama ni vitu viovu, hivyo kupelekea wake wengi katika ndoa zao kufanya dhambi mbele za Mungu kwa sababu tu wanataka ku..
Kabla ya kujibu swali hilo, tujiulize kwanza swali hili, je! Ni sahihi kwa wale ambao, tayari ni mke na mume kufanya kitendo hicho ndani ya kanisa? Kama si sahihi kwa watu ambao ni wana nd..
Jibu: Tusome.. Mwanzo 5:1 “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; 2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki AKAWAITA JINA LAO ADAMU, siku ile walipoumbwa”. Sio kwamba, Mungu alikosea, kuwapa jina moja, kana kwamba hakumuona mwanamke Hawa. Hapana, kulikuwa na sababu kubwa sana.. Mungu anavyoona sio ..
Neno hilo utalipata katika vifungu hivi; Mithali 5:18 “Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako”. Malaki 2:14 “Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu Bwana amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako”. Watu wengi ..
Kuoa/kuolewa na mtu aliyekuzidi umri, ni sawa kibiblia? Biblia haijatoa katazo lolote la ki umri katika suala la ndoa. Imekataza mambo kama ndoa za jinsia moja, kuoa wake wengi, kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile.. Lakini katika eneo la umri, haijasema chochote, na hivyo, si dhambi, mtu kuoa/ kuolewa na mtu aliyemzidi umri, maadamu ..