Author : Peter Paul

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Maneno haya aliyazungumza Bwana Yesu kwa wanafunzi wako kuwaonya juu ya mambo yatakayotokea katika nyakati walizokuwepo baada ya yeye kuondoka lakini maneno hayo yanadhihirika kwa kasi ya ajabu hata kwetu sisi katika nyakati hizi za Mwisho hebu tusome. Luka 17:22 “Akawaambia wanafunzi, Siku zitakuja mtakapotamani kuona ..

Read more

Shalom!, mwana wa Mungu nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze na kuyatafakari maneno ya uzima. Swali hili limekuwa likiulizwa mara nyingi sana na wakati mwingine ni kama vile linakosa majibu.Ni swali ambalo lina watu wanaokubali ndio Adamu na Hawa walikuwa na uzima wa milele. Lakini kuna kundi lingine linalokataa kuwa Adamu ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama tunavyosoma katika maandiko Neno “MBWA” linamaanisha “Mwanaume anaejiuza au anaeuza mwili wake” mwanaume anaeuza mwili wake aidha kwa wanawake au kwa wanaume wenzake yaani SHOGA. ukisoma kwenye Biblia ya kiingereza “Amplified Bible ” imeeleza vyema hebu tusome. Deuteronomy 23:18[18]You shall not bring the hire of ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Nguo za magunia katika maandiko ni nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya mbuzi. Ambazo zilikuwa zikitumika kuwakilisha jambo fulani katika agano la Kale. Ni tafauti na inavyoweza kudhaniwa labda ni mifuko hii ya salfeti. Inayotumika kuhifadhia nafaka kama maharage,mahindi nk sivyo. Sasa zilikuwa zinavaliwa kuashiria jambo fulani ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Bisi zinazotajwa katika maandiko yaani Biblia ni tofauti kidogo na Bisi tunazozifahamu sisi. Tunafahamu Bisi tunazozijua sisi katika taifa letu ni yale Mahindi ya njano mdogo madogo maarufu yanajulikana kama “Mahindi ya bisi” ambayo hukaangwa na kisha hufutuka/kulipuka lipuka kisha yanabadilika rangi kuwa Meupe kwa Lugha ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ndoto Ni mtiririko wa wa picha na mawazo pamoja na hisia zinazokuja wakati mtu akiwa hajitambui yaani amelala!, na zinakuja wakati asioujua yeye, anapopata usingizi tu basi mfululizo wa picha na mawazo vinaanza kujitengeneza vyenyewe tu. Na pia mtu anakuwa hapangi nini aote leo au asiote ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Wapunga Pepo kama tunavyosoma katika maandiko Matendo ya Mitume 19:13. Biblia inataja ni wana wa Skewa, Sasa maana nyingine ya kupunga Pepo ni KUFUKUZA PEPO. Sasa zipo namna mbali mbali za kufukuza pepo/kupunga Pepo. Moja ni kupitia Watumishi wa Mungu na nyingine ni kutumia Waganga na ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Melkizedeki kama tunavyosoma katika maandiko si mwingine bali ni Kristo Yesu yaani Mungu!, kwa namna gani? Tutakwenda kutazama kwa undani zaidi ili kulidhibitisha jambo hili. Maandiko yanatuambia…. 1 Timotheo 3:16Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika ..

Read more