
Kufunua Marinda ni nini katika biblia? (Yeremia 13:26..
Yohana 17:16 Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Haya ni maneno ya Kristo Yesu, akiwatambulisha watu wanaomwubudu Mungu katika Roho na kweli (Wacha Mungu, watakatifu waliopo duniani) Maswali ya kujiuliza ni je! ulimwengu ukojeMpaka Kristo aseme sisi si wa ulimwengu huu? Na je sisi ni wa wapi? 1 ..