Archives : June-2024

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo alie Bwana na mwokozi wetu. Karibu tuyatafakari maneno ya mwokozi wetu. Wakristo wengi tunapenda kusikia Mungu akituahidia ahadi mbali mbali katika maisha yetu, na tunatamani tupokee tu bila kutaka kujiandaa ama kukubaliana na matengenezo/gharama za ahadi hiyo. Kama vile mzazi anavyomuahidia mtoto wake kumfungulia biashara Fulani. Kwa ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tofauti na watu wengi tunavyomfikiria shetani kwamba huenda huwa anakurupuka tu anapotaka kumuangusha mwamini katika dhambi na kumrudisha nyumba huwa tunadhani kuwa ni kitendo cha ghafula tu hafanyi maandalizi yoyote anakurupuka tu na kufanya anachotaka lakini ndugu si ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze.. JIBU, Tusome.. Kutoka 5:14-16[14]Na wanyapara wa wana wa Israeli, ambao wasimamizi wa Farao wamewaweka juu yao, wakapigwa, wakiambiwa, Kwa nini hamkutimiza kazi yenu jana na leo; kwa kufanya matofali kama hapo kwanza? [15]Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, sisi watumwa wako? [16]Watumwa wako hawapewi majani, ..

Read more

Bwana Yesu kristo Asifiwe, SWALI: Nini maana ya Kumtia Mtu au Malaika “KASIRANI” kama ilivyotumika katika (Kutoka 23:21) Kwa majibu sahihi turejee biblia katika Kutoka 23:20-22 [20] Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea. [21] Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; WALA MSIMTIE KASIRANI; maana, hatawasamehe ..

Read more

Shalom karibu katika kujifunza Maandiko matakatifu Wagalatia 6:1 “Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.” JIBU: Hapa Maandiko yanatupa mwongozo Namna sahihi ya kuwarejesha upya wale wapendwa Walioanguka dhambini. Biblia inatuasa tuwarudishe kwa upole ..

Read more

JIBU.. Maandiko hayajatupa uwazi wa moja kwa moja wa kuelewa kama waliokoka au hawakuokoka pindi walipofahamu uovu walioufanya.. Tukiliangalia hili neno Kuokoka tunakuja kuliona kwenye kipindi chetu cha Agano jipya likiwa na maana ya kukombolewa kwenye uharibifu wa hukumu ya Mungu iliyoikumbuka ulimwengu mzima kwasababu ya dhambi kupitia kifo cha Mwokozi Yesu Kristo anayetuokoa sisi ..

Read more

Jina la Bwana Yesu kristo Lihimidiwe. SWALI: JE! _Bisi ni Nini kama ilivyotumika katika kitabu Cha Ruthu 2:14 na Walawi 23:14_ JIBU: Bisi ni kama tunavyofahamu kwa mazingira yetu kwamba ni yale Mahindi yanayokaangwa na kufutuka, na kuwa na mwonekano mwingine wenye weupe weupe hatimaye kuliwa. Maarufu zaidi kwa jina la kigeni “popcorn” Lakini kwa ..

Read more