Category : Maombi na sala

Maombi ni silaha mojawapo inayoweza kukuletea matokea makubwa sana, na shetani kwa kulijua hilo,anapiga vita swala la maombi, hivyo hatuna budi kuwa na miongozo ambayo itatusaidia tuzidi kukomaa kimaombi na kuendelea mbele zaidi, Ipo miongozo mingi itakayokusaidia kuomba ila kwa neema za Bwana tutaangalia ni namna gani tunaweza kuingia kwenye maombi tukiwa tayari tuna mwongozo ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi wana bidii katika maombi wengine wanafunga kwa kipindi kirefu lakini mwisho wa siku hawaoni matokeo katika kile walichokuwa wanakiomba. Mwisho inapelekea kukata tamaa na kuona kama Mungu hawasikii ama yupo mbali na wakati mwingine wanahisi kuwa huenda wamekosea mahali fulani ..

Read more

Shalom, tunamshukuru Bwana kwa siku nyingine tena aliyotupa.. Wengi wetu tumekuwa tukiomba sana , wengine wameenda mbali zaidi wakiisindikiza maombi yao kwa mifungo ya siku hata mwezi, jambo ambalo ni jema sana na lapendeza sana mbele za Mungu, kwasababu maandiko yametutaka tuombe bila kukata tamaa, (luka 18:1) Lakini leo natamani tujifunze Jambo lingine ambalo Katika ..

Read more

Unapokuwa tayari kwa hiyari yako kumkabidhi Kristo maisha yako ili akuokoe na kukusamehe dhambi zako basi huo ni uamuzi mzuri zaidi na wenye furaha zaidi maisha yako yote, kama ilivyokuwa kwa sisi wenzako katika kristo Yesu, ilikuwa hivyo hivyo. Kumbuka.. • kwa Yesu kuna Uzima wa milele, utulivu wa Nafsi na faraja kuu. Kama anavyosema ..

Read more