Karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Maana ya kutahayari ni kuaibika yaani kufanya au kufanyiwa jambo au tendo ambalo mwishowe huwa ni aibu jambo hilo ni kama kutukanwa, n.k. Neno la Bwana linasema hivi 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia ..
Archives : January-2025
Je! Utoaji wako unamgusa Mungu? Sehemu ya 01. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.. “Kuna utoaji unaomgusa Mungu na usiomgusa Mungu “ katika maisha ya Kikristo utoaji hasa kwa Mungu wetu ni wajibu wa kila mmoja mmoja wetu. Na anaetakiwa kufanya hivi si tajiri peke yake la! Bali ..
Ni kweli njia ni nyembamba na njia imesonga iendayo uzima?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mathayo 7:14“Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.” Bwana Yesu ambae anataka watu wote waokolewe.. 2 Petro 3:9“Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, ..
Timiza wajibu wako. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Wakristo wengi wanataka kusaidiwa kutimiza wajibu wao.. Kama mwamini uliesamehewa deni la dhambi bure katika Kristo Yesu una wajibu wakufanya. Vivyo hivyo Mungu anawajibu wa kufanya kwa sehemu yake. Mungu anawajibu wa kufanya katika maisha yako lakini pia wewe ..
Hamjui mfano huu basi mifano yote mtaitambuaje?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima!. Bwana Yesu sehemu zote kama maandiko yanavyosema hakunena chochote pasipo mfano. Katika kila jambo alilokuwa anataka kuwafundisha makutano na wanafunzi wake alinena kwa mfano. Hata sasa Yesu Kristo ananena nasi kwa mifano kupitia Roho Mtakatifu ..
Fahamu adui yako mkubwa ni nani?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Hili ni somo muhimu sana kwako tafadhari chukua muda wa kulisoma na kutafakari litakufungua mahali pakubwa sana usiwe mvivu. Wengi wetu tunafahamu adui wetu mkubwa ni Shetani,miili yetu(haipatani na mambo ya rohoni). Au wanadamu wenzetu ambao wanatumiwa ..
Hori ni nini? Hori ni mahali palipotengwa kwa ajili ya ng’ ombe kulia chakula. Maneno haya tunasoma katika maandiko haya ya Mungu ili tupate maana zaidi. Luka 2:7 “akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni”. Pia maana nyingine ya hori ..
Maana halisi ya konzi Ni kipimo chenye ujazo wa kukaa mkono mmoja wa mwanadamu. Tujifunze zaidi katika maandiko haya yaliyo ainishwa hapa sawa sawa na maandiko ya Bwana yanavyosema. Mithali 30:4 “Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake? Ni nani ..
Karibu, tuyatafakari Maneno ya Uzima.. Ikiwa wewe ni mwanamke basi somo hili ni maalumu kwako kujifunza. Yapo mambo ambayo Bwana anayafanya juu yako, mengine ulikuwa ukimwomba lakini mengi ni Bwana mwenyewe anakutendea kwa wema wake, embu jiulize baada ya kutendewa muujiza huo ulifanya nini, wengi wanaishia kushukuru baada ya hapo wanaendelea na mambo yao, nataka ..
Fanya bidii kuwa mnyenyekevu ndani yako Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Unyenyekevu ndani ya mtu hautokei tu Kama bahati mbaya au hautokei kama ajali tu la! Bali ili unyenyekevu uweze kuumbika ndani ya mtu aliemwamini Yesu Kristo ni lazima afanye bidii yaani akubali kuingia katika ..