Archives : December-2024

Maono yako ni nini katika mwaka mpya 2025 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuongeze maarifa zaidi. Ni muhimu kwanza tukaelewa nini maana ya maono katika Muktadha wa kawaida kabisa. Maono ni nini? Ni dira au ndoto kuhusu maisha yako au malengo yako ya baadae. Tunaweza kusema.. ni muelekeo wa kimkakati unaolenga ..

Read more

Tusome 1 Mambo ya Nyakati 9:1 [1]Hivyo Israeli wote walihesabiwa kwa nasaba; na tazama, hizo zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli; na Yuda wakachukuliwa mateka mpaka Babeli, kwa sababu ya makosa yao. Nasaba maana yake ni orodha au mfufulizo wa majina ya watu, ambayo yanakuwa yamejumuisha orodha ya watu watu wote walio katika ukoo ..

Read more

Jabari ni mtu shujaa asiyeshindwa na jambo lolote pia ni mtu anayejiamini kwa asilimia kubwa sana katika kila alifanyalo na ni mtu hodari sana katika jambo hilo jema au baya alifanyalo. Tusome maandiko ili tupate kujifunza zaidi. Isaya 49:24 “Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana ..

Read more

Maombi ni silaha mojawapo inayoweza kukuletea matokea makubwa sana, na shetani kwa kulijua hilo,anapiga vita swala la maombi, hivyo hatuna budi kuwa na miongozo ambayo itatusaidia tuzidi kukomaa kimaombi na kuendelea mbele zaidi, Ipo miongozo mingi itakayokusaidia kuomba ila kwa neema za Bwana tutaangalia ni namna gani tunaweza kuingia kwenye maombi tukiwa tayari tuna mwongozo ..

Read more

Neno hili linamaanisha kuwa ni Hali ya vitu kutokukaa katika mpangilio mzuri ambao haudhihirishi muonekano sahihi wa vitu au jambo. Turejee maandiko kama yalivyoelezewa na Bwana wetu Yesu Kristo ili tupate umeelewa zaidi utakaotupatia maana sahihi ya Neno hili Isaya 17:13 “Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi; Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana, Watafukuzwa ..

Read more

Neno hili linamaanisha kuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu katika asili ya udongo na baada ya kupuliziwa pumzi ya Bwana akaweza kutolewa mwanadamu wa kwanza mwenye uhai na ndiye huyu aitwaye Adamu. Tukiangalia maandiko ya Bwana wetu Yesu Kristo maneno yake ya uzima yanasema hivi. Mwanzo 2:7 “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ..

Read more

Jina la mwokozi litukuzwe karibu katika kujifunza Hapo aliposema fimbo ya udhalimu haitakaa juu ya fungu la mwenye haki Turejee Zaburi 125:2-3 [2]Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. [3]Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze  Neno la uzima. Somo hili ni maalumu kwa wanawake wote waliomwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao(Wanaoukiri uchaji wa Mungu). Hivyo ikiwa wewe ni mwanamke ni muhimu sana ukasoma na kutafakari ujumbe huu na Yesu Kristo atasema na wewe kwa namna ..

Read more