YULE TAJIRI NAYE AKAFA, AKAZIKWA. Luka 16:22 “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. YULE TAJIRI NAYE AKAFA, AKAZIKWA”. Nilikuwa natafakari kwanini biblia imetumia hayo maneno “AKAFA, AKAZIKWA“, tofauti na yule maskini ambaye alipokufa “AKACHUKULIWA NA MALAIKA.” Ndugu, fahamu kuwa ukifa na dhambi usifikiri kuwa malaika watakatifu watakuchukua kwa furaha…ukifa unazikwa ..
Archives : May-2026
KUTOA KAMA SEHEMU YA UTUMISHI. Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maandiko. Sisi kama wakristo, ili tuweze kukua kutoka utukufu hadi utukufu, na imani hadi imani, hatuna budi kuyatafakari maneno ya Mungu sana kwa kadiri tuwezavyo. Leo tutajifunza umuhimu wa kumtumikia Mungu kwa njia ya matoleo. Watu wengi wamekariri ..
ISOME BIBLIA YAKO KATIKA UFAHAMU HUU SEHEMU YA 01 Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakri maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Neno la Mungu sio hadithi au story Fulani ambayo inatuelezea nini kilitokea katika historia nk Neno la Mungu ni zaidi ya hivyo… Neno la Mungu ni hai ni ..
ONDOKA !!! Kuna dhambi zingine huwezi ukaviacha mpaka uamue kuchukua hatua ya kuondoka katika hiyo dhambi kwa miguu yako kabisa. Kwa mfano huwezi kusema umetubu na bado ukaendelea kukaa hapo kijiweni na wahuni, au ukaendelea kukaa hapo kilabuni, au ukaendelea kukaa na huyo mwanaume/mwanamke unayezini naye,…hapo haijalishi utaomba toba na kusalishwa sala ya toba mara ..
WAKATI WA BWANA KATIKA MAISHA YAKO. Shalom mtumishi wa Bwana karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Wakati wa Bwana ndio uliobeba maswali ya majibu yako,ndio uliobeba kustawi kwako katika maeneo yote unayotamani kustawi katika maisha yako ikiwa ni mambo ya kimaisha nk. ile picha unayoiona katika ufahamu wako namna unavyojiona ndani ..
MAOMBI YA KUTANGAZA Shalom. Karibu tujifunze somo la Maombi. Maombi yamegawanyika katika sehemu kuu tatu 1) kushukuru 2) kuwasilisha mahitaji kwa Mungu 3) Kutangaza. Leo tutajifunza kuhusu Maombi ya KUTANGAZA. Maombi ya kutangaza ni yapi? Haya ni maombi ya kimamlaka…Maombi haya yanakazi moja tu nayo ni KUTUEPUSHA NA MAJARIBU. Sasa kabla ya kuingia kujifunza juu ..
TUPENI MAFUTA YENU KIDOGO, MAANA TAA ZETU ZINAZIMIKA. Jina kuu lipitalo majina yote mbinguni na duniani, jina la YESU KRISTO WA NAZARETHI litukuzwe daima. Karibu tujifunze habari njema, Neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Leo kwa msaada wa Roho Mtakatifu tutajifunza uhalisia wa mambo yalivyo miongoni mwa wakristo wa leo, Bwana ..
ISRAELI NI SAA YA MUNGU Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe sana, karibu tuyatafakari maandiko, ili tuone jinsi mwisho ulivyokaribu sana kuliko wengi tunavyodhania. Maandiko yanasema hakuna mtu aijuaye Siku na saa ya kurudi kwa Bwana, hata malaika mbinguni hawajui. Lakini leo nataka nikuonyeshe katika maandiko hayo hayo, kuwa kalenda ya Mungu kuhusu siku za ..
AKAWAULIZA, BASI MLIBATIZWA KWA UBATIZO GANI? Matendo ya Mitume 19:1-5 “Ikawa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo, akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso; akakutana na wanafunzi kadha wa kadha huko; [2]akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? WAKAMJIBU, LA, HATA KUSIKIA KWAMBA KUNA ROHO MTAKATIFU HATUKUSIKIA. [3] AKAWAULIZA, BASI MLIBATIZWA KWA UBATIZO GANI? Wakasema, Kwa ..
NI INJILI GANI UNAZOZIPENDA KUZISIKILIZA? Siku hizi za mwisho kuna injili nyingi sana, kuna injili ya kweli lakini pia ipo injili ya uongo. Injili ya kweli ni ile inayopeleka mtu uzimani na ile nyingine inawafanya watu waupende huu ulimwengu ambao unaenda kuisha hivi karibuni. Na cha kuhuzunisha, watu wengi wanaikimbilia injili hizi za uongo zisizo ..