Category : Siku za Mwisho

SAA YA UFUFUO UMEKARIBIA!! Yohana 5:25 “Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai. [26]Maana kama vile Baba alivyo na uzima nafsini mwake, vivyo hivyo alimpa na Mwana kuwa na uzima nafsini mwake. [27]Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana ..

Read more

JE UNAJUA NI NINI KITATOKEA MUDA MFUPI BAADA YA UNYAKUO? Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tujikumbushe mambo ya msingi yatupasayo kufahamu katika nyakati hizi za hatari.. Baada ya Unyakuo kupita maisha yataendelea kama kawaida, lakini kutasikika tetesi tesi kuwa kuna watu wanaripotiwa kupotea katika mazingira yakutatanisha. Hakutakuwa na furugu kama inavyojulikana na wengi kuwa unyakuo ..

Read more

JE! UNYAKUO UTAKUWA NI WA SIRI KWA WATU WOTE? Bwana Yesu Kristo asifiwe wateule wa Mungu. Karibu tujifunze maneno matukufu ya Mungu. Ni kweli unyakuo utakuja ghafla kwa watu wengi, lakini kwa wateule wa Mungu (watakatifu) haitakuwa ghafula, bali watakuwa wanafahamu majira na nyakati hatua kwa hatua, Kama haufahamu Biblia ilishatupa mwangaza juu ya suala ..

Read more

ILE SIKU KUU IMEKARIBIA Siku kuu ni siku ambayo ni KUU kuliko siku zingine, ni siku ambayo ni maalumu kwa ajili ya tukio fulani la kipekee sana.. mfano siku ya harusi huitwa siku kuu, siku ya maadhimisho ya jambo fulani la kipekee lililowahi kutokea nyuma huitwa siku kuu, Halikadhalika kuna siku moja inayokuja huko mbeleni… ..

Read more

RUPTURE!! RUPTURE!!Β  The rupture is the next event the church is waiting for. 𝙄𝙏 𝙒𝙄𝙇𝙇 π™ƒπ˜Όπ™‹π™‹π™€π™‰ 𝙄𝙉 𝘼 π™ˆπ™Šπ™ˆπ™€π™‰π™.. 𝙄𝙏 π™ƒπ˜Όπ™Ž π™‰π™Š π™Žπ™€π˜Ύπ™Šπ™‰π˜Ώ π˜½π˜Όπ™π˜Ύπ™ƒ. I am listening every moment, For the mighty trumpent soundΒ What a time we’ll have together. When the saints will leave the ground! All our toiling will be over!, All our sorrow ..

Read more

ISRAELI NI SAA YA MUNGU Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe sana, karibu tuyatafakari maandiko, ili tuone jinsi mwisho ulivyokaribu sana kuliko wengi tunavyodhania. Maandiko yanasema hakuna mtu aijuaye Siku na saa ya kurudi kwa Bwana, hata malaika mbinguni hawajui. Lakini leo nataka nikuonyeshe katika maandiko hayo hayo, kuwa kalenda ya Mungu kuhusu siku za ..

Read more

TUPO UKINGONI MWA NYAKATIΒ  Shalom ndugu, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Nakukaribisha tuyatafakari kwa pamoja maneno ya uzima, maadamu rehema zake ni mpya kila siku asubuhi(Maombolezo 3:22-23). Leo tutajifunza tena jinsi ule mwisho wa mambo yote ulivyokaribia sana. Watu wengi wanajua tunaishi katika siku za mwisho.. hata watoto wadogo wanajua, hata wapagani ..

Read more

KWANINI KIZAZI HIKI HAKITAPITA !! Kwasababu Bwana mwenyewe alisema.. “Amin, nawaambia, KIZAZI HIKI HAKITAPITA, hata hayo yote yatakapotimia. 35 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe”. (Mathayo24:34-35) Hichi kizazi alichokizungumzia Bwana hapa sio kile kizazi cha akina Petro… kwasababu kile kilishapita miaka 2000 iliyopita. Hivyo kizazi alichokuwa anazungumzia hapa ni kile kilichoshuhudia mtini ..

Read more

TAFUTA VAZI LA ARUSI UNYAKUO UPO KARIBU! Awali ya yote tukumbuke kuwa lengo la kunyakuliwa sisi ni ili kwenda kula karamu ya arusi ya mwanakondoo mbinguni, aliyoiandaa Yesu Kristo kwa ajili yetu, kama alivyosema katika Yohana 14:1-4 na Ufunuo 19:9. Hivyo kama tunavyojua hakuna sherehe yoyote isiyokuwa na mwaliko. Hakuna mtu anayejikuta tu kwenye arusi ..

Read more

LAKINI USIKU WA MANANE PAKAWA NA KELELE. Kama wewe ni mfuatiliaji wa unabii wa biblia na mwenye kujua nyakati na majira tunazoishi…basi bila shaka unajua kuwa kuja kwa Bwana wetu YESU KRISTO kumefananishwa na wale wanawali kumi waliokuwa wakingoja kumlaki Bwana wao atakapokuja waende naye arusini, Na tukisoma tunaona ilipofika usiku wa manane wote waliishiwa ..

Read more