Archives : January-2022

Je! kupiga punyeto ni dhambi kwa mujibu wa biblia?

Dhambi hainzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni, na ndio maana Bwana Yesu alisema.. Mathayo 15:18 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano; Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa ..

Read more

Maziwa ya akili yasiyoghoshiwa ni yapi, kibiblia?(1Petro 2:2)

Neno hilo utalisoma katika mstari huu; 1Petro 2:1 “Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. 2 Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu”; Kughoshi ni kubadilisha umbile, au kutia dosari, aidha kwa kuongeza au kupunguza kitu Fulani ili ..

Read more

Kulingana na Mathayo 5:29, Je! viungo vyetu vikitukosesha tuvikate?

“Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe;” Tusome habari nzima; Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum. 30 Na ..

Read more

Je biblia inaruhusu kubatiza kwa ajili ya wafu?(1Wakorintho 15:29)

1Wakorintho 15:29 “Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao? Ili kuelewa mtume Paulo alimaanisha nini katika habari hiyo, tuanzie mistari ya juu kidogo, 1Wakorintho 15:12 “Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? ..

Read more

Amepatwa na haya tangu lini?

Ipo habari ambayo ni muhimu sana wazazi kuifahamu kuhusiana na maisha ya watoto wao. Watu wengi wanapuuzia maisha ya rohoni ya watoto wao wakidhani kuwa shetani hawezi kuyasogelea, kumbe hawajui ibilisi mpango wake unaanzia tangu kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu. Leo tutaazama kisa hiki kimoja katika maandiko. Utakumbuka mitume walipewa amri na Bwana ya ..

Read more

Mchokoo ni nini katika maandiko? (Matendo 26:14)

Zamani wakulima walipokuwa wanakwenda kulima na wanyama, hususani ng’ombe, walikuwa wanajua kuwa watakumbana na ukinzani wa baadhi ya hawa wanyama, Kwasababu mara nyingine wapo ng’ombe viburi, ambao walikuwa hawataki kulimishwa, hivyo  kila wakati walikuwa wanarusha mateke yao tu, na kuwasumbua sana wakulima. Hivyo wakulima wakabuni kitu mifano wa mkuki ambacho walikisogeza karibu kabisa na migongo ..

Read more