![Je! kupiga punyeto ni dhambi kwa mujibu wa biblia?](https://rejeabiblia.com/wp-content/uploads/2022/01/istockphoto-1064517086-612x612-1.jpg)
Dhambi hainzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni, na ndio maana Bwana Yesu alisema.. Mathayo 15:18 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano; Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa ..