Je! Lusifa ni nani, na tunasoma wapi jina hilo?

Jina Lusifa halipatikani katika Biblia ya toleo la Swahili Union version (SUV) au matoleo mengine ya Kiswahili. Ni neno la Kilatini linalomaanisha “Nyota ya Alfajiri” na limetajwa katika: 

Isaya 14:12

[12]Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi!  Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

Watakatifu wa zamani walitafsiri Biblia kutoka lugha ya Kiyahudi hadi Kilatini katika karne ya 4, na neno hilo”Nyota ya Alfajiri” liliandikwa baadaye kama “Lusifa” kwa Kilatini. Neno hili lilipata umaarufu, hasa katika tafsiri ile ya King James Version (KJV), na likaenea kwa wazungumzaji wa Kilatini na Kiingereza. Hata hivyo, matoleo mengine mengi, ikiwa ni pamoja na toleo la Kiswahili (SUV), haikuitohoa katika lugha ya Kilatini bali iliiacha kama nyota ya asubuhi.

Ibilisi ni Lusifa yuleyule, na ni muhimu kuwa tayari kwa siku za mwisho na kurudi kwa Yesu. Ulimwengu ni mfupi, na ni muhimu kuwa tayari kumkaribisha Yesu katika maisha ya mtu kwasababu siku hizi ni za mwisho, Kristo amekaribia kurudi. Je ungependa kupokea msamaha wa dhambi leo, kwa kumkaribisha Yesu moyoni mwako? Kama ni hivyo basi wasiliana na namba zetu uzionazo chini ya somo hili;

Ubarikiwe.

Kwa mawasiliano zaidi +255693036618/+255789001312

Jiunge pia na Channel yetu ya  WhatsApp. 

“ NURU YA UPENDO” Kwa kubofya hapa>> WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Masomo mengine:

Nini maana ya kwaresma. Je! ni sharti kuitimiza?

BIBLIA TAKATIFU NI NINI?

TABIA NYINGINE YA IBILISI UNAYOPASWA KUIFAHAMU.

2 thoughts on - Je! Lusifa ni nani, na tunasoma wapi jina hilo?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *