Ficha watoto wako ndani ya safina Safina ni nini? Ni chombo cha majini kilichotumika mahususi kwa ukombozi. Ni mfano wa meli iliyotumika kuokoa watu/wanyama kutoka katika maangamizi fulani. Kwamfano katika biblia tunaona Nuhu aliagizwa atengeneze safina, ambayo ataingia yeye pamoja na familia yake, na wanyama wa nchi. Lakini pia wakati Musa anazaliwa, tunaona wazazi wake ..
Category : Watoto
MZAZI MRUDI MWANAO (Masomo yahusuyo malezi kwa watoto) Wewe kama mzazi/mlezi unawajibu wa kumlea mwanao katika njia ipasavyo kama biblia inavyotuambia (Mithali22:6) Usipomlea mtoto wako katika njia iliyobora na ukamwacha tu ajiamulie kila kitu ujue shetani atakusaidia kumlea na kumwongoza katika njia ya uharibifu, Katika biblia tunasoma habari moja ya kijana aliyeitwa Adonia..ambaye alikuwa miongoni ..
Bwana Yesu asifiwe milele yote, karibu tuyatafakari Maneno yake.. Usalama wa maisha ya mtoto yapo kwa Mungu lakini pia yapo kwa mzazi, ni jukumu la mzazi kuyajali na kuyathamini maisha ya mtoto hata kabla hajazaliwa mpaka anakuja kufikia hatua ya kuwa mtu mzima, jukumu la kumwangalia na kumjali lipo juu yako pia, na sio la ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Upo umuhimu mkubwa wa wewe mzazi au mlezi kumlea mtoto wako Katika njia inayompasa, kwasababu hataicha kabisa, ndivyo maandiko yanavyotujuza,na Neno la Mungu halisemi uongo,ina maana malezi unayomlea Mtoto wako saivi, yale ya kumpenda Mungu na kuzishika sheria za Mungu, na kumfundisha kuenenda Katika njia zake, fahamu kabisa matunda ..
Jina Bwana Yesu libarikiwe milele, karibu tujifunze Neno lake.. hili ni fundisho maalumu linalomuhusu mzazi au mlezi, kama upo kwenye nafasi yoyote ya kulea basi zingatia haya, Kitu pekee na kikubwa na cha kuzingatia wewe uliye Katika nafasi ya ulezi ni MAOMBI, Maombi ni silaha kubwa inayoweza kuangamiza mishale yote ya adui shetani, na Maombi ..
Shalom, karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu wetu, Na leo kwa Neema za Bwana tutaangazia jinsi gani tunaweza kuwabariki watoto wetu, na kujua ni kanuni ipi tutaitumia ili tuzifikishe kwa Watoto, tofauti na inavyodhaniwa kuwa kumtamkia baraka kwa vinywa vyetu inatosha, ni sawa kufanya hivyo lakini leo tutaenda mbali zaidi, Wewe kama mzazi au mlezi ..

Karibu katika sehem..

FUNDISHO MAALUMU KWA MZAZ..

FUNDISHO MAALUMU KWA MZAZ..

Ipo habari ambayo ni muhimu sana wazazi kuifahamu kuhusiana na maisha ya watoto wao. Watu wengi wanapuuzia maisha ya rohoni ya watoto wao wakidhani kuwa shetani hawezi kuyasogelea, kumbe hawajui ibilisi mpango wake unaanzia tangu kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu. Leo tutaazama kisa hiki kimoja katika maandiko. Utakumbuka mitume walipewa amri na Bwana ya ..