Author : magdalena kessy

Kuhadaa ni neno lenye maana ya kudanganya au kulaghai, kuhadaa ni kutumia njia ya mkato au isiyo sahihi ili kuweza kufanikisha jambo fulani au kulipata.. Tunaliona neno hili kwenye baadhi ya vifungu.. Mwanzo 31:20[20]Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia. Mithali 12:5[5]Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ..

Read more

Kwa jamii nyingi za watu wa zamani walikuwa na imani kuwa mtu akikutazama au kukuangalia kwa macho yake basi inaweza kukuletea madhara au laana juu yako, ikiwa amekusudia au hajakusudia kufanya hivyo, Imani hii hata kwa wakati huu ipo kwa jamii na watu wengi,wakiendelea kuamini kwamba kupitia jicho la mtu anaweza kukuloga, au kupitia jicho ..

Read more

JIBU: Tusome mstari wenyewe. Mhubiri 1:15 “Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki”. Ukisoma hapo kwa makini utaona kuna Vipengele viwili,yalipotoka hayawezi kunyooshwa na yasiyokuwapo hayahesabiki… Tukianza na kipengele cha kwanza, yalipotoka hayawezi kunyooshwa,tufahamu kitabu cha mhubiri kinaeleza juhudi za mwanadamu kutafuta suluhu ya mambo yote yaliyopo duniani kwa nguvu zake mwenyewe bila kumtegemea Mungu wala ..

Read more

Mhubiri 7:29  “Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi”. Uumbaji wa Mungu,alipomuumba Mwanadamu,alimuumba Katika ukamilifu wote, wazazi wetu wa kwanza hawakuwa na kasoro yoyote ya Mwilini hata rohoni, ukamilifu wa kuwa na Amani,furaha, Upendo na kulicha jina la Bwana.. Lakini tunaona ilifika mahali wakaona hayo walioumbiwa na Mungu hayawatoshi wakatamani ..

Read more

Mithali 20:12[12]Sikio lisikialo, na jicho lionalo, BWANA ndiye aliyeyafanya yote mawili.. JIBU.. Unaweza kujiuliza, kwanini maandiko yasingesema sikio na jicho Bwana ndiye aliyeyafanya yote mawili, badala yake anasema… “Sikio lisikialo na jicho lionalo Bwana ndiye aliyeyafanya yote mawili, Hii ni kutuonyesha jinsi gani kazi zao jinsi zinavyoweza kujitegemea, kwasababu sikio haliwezi kuona wala jicho kusikia ..

Read more

Jibu,Tusome pamoja… Mwanzo 11:28-29[28]Harani akafa kabla ya baba yake Tera katika nchi aliyozaliwa, yaani, katika Uru wa Wakaldayo. [29]Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska Neno hili Uru, lina maana ya ARDHI,AU HIMAYA, Na ..

Read more

JIBU.. Kuna utofauti kati ya haya Maneno mawili, Utasi na Utasa.. tasa ni ile hali ya mtu kutokuwa na uwezo wa kuzaa au kuzalisha,kwa mwanamke au mwanaume lakini utasi ni hali ya ulimi kuwa mzito, wengi wenye changamoto ya utasi wanakuwa hawawezi kuongea Katika ufanisi au kuyatamka Maneno vizuri, na huwa tatizo la utasi mtu ..

Read more

JIBU.. Hapana, Bwana Wetu Yesu Kristo hakuwa na mahusiano na mwanamke yeyote na wala hakuingia Katika ndoa (kuoa).. Makusudi yake makubwa ya kuzaliwa na kuja kuishi duniani ni ili ayafanye na kuyakamilisha mapenzi ya baba yake ambayo ni kumkomboa Mwanadamu aliyepotea , na Katika yote hakuwahi kufanya dhambi hata moja wala kuingia kwenye tamaa.. Yohana ..

Read more

JIBU,Tusome… Ufunuo 1:13 “na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa Mwanadamu, amevaa vazi lililofika miguuni, na kufungwa MSHIPI WA DHAHABU MATITINI”. Tafsiri ya moja kwa moja ya Neno mshipi ni mkanda,soma Mathayo 3:4, na Matendo 21:11, na Zaburi 18:32, utaliona jambo hilo, pia mkanda huo unaweza ukawa umetengenezwa kwa namna yoyote ya malighafi, ..

Read more