Archives : August-2022

Mahubiri haya, yaliwafanya watu kuridhika, na zaidi wakaendelea katika maovu yao huku wakilitumainia HEKALU LA BWANA, Ndipo Yeremia akawaambia msiseme hekalu la Bwana tunalo, HEKALU LA BWANA NDIO HAYA! Haya ninayowaeleza kwa habari ya njia zenu ndio hekalu, Yale YALIYOANDIKWA ndio hekalu la Bwana, na n..

Read more

Jibu ni kwamba, hakuna sehemu yoyote ile kwenye maandiko matakatifu ambapo imeelekeza mkristo kufanya ishara ya msalaba kabla na baada ya sala kwa kutamka kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kinyume chake ni kwamba, biblia inamuelekeza mkristo wa kweli kuwa, kwa chochote kile afanyacho, kwa neno au kwa tendo, akifanye kwa JINA LA YE..

Read more