Archives : August-2022

JE! YESHURUNI NI NANI?

Yeshuruni ni jina lingine la taifa la Israeli, lililotumika zamani hususani katika Mashairi yao. Kumbukumbu 32:12 “Bwana peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye. 13 Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume; 14 Siagi ya ng’ombe, na maziwa ..

Read more