Archives : August-2024

Shalom. Swali: Mafarisayo walipomwambia Yesu kuwa alitoa Pepo kwa beelzebuli, JE? Alimaanisha Nini alipowauliza JE watoto huwatoa kwa nani? Tusome.. Mathayo 12:24 “Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu.   Kama Mwamini uliyeokoka ukampa Yesu Kristo maisha yako ni muhimu sana kujua unamuwakilisha nani kwa watu wanaokutazama. Katika jamii inayokuzunguka wakikutazama wanamuona Kristo ndani yako au wanauona ulimwengu ndani yako?, ni jambo la kuwa makini sana na kuwa ..

Read more

Shalom. Yeremia 23:18 “Maana, ni nani aliyesimama katika baraza la Bwana, hata akalifahamu neno lake na kulisikia? Ni nani aliyelitia moyoni neno langu, na kulisikia” Tufuatilie mtiririko wa habari hii kwa kuendelea mpaka 22, ili tupate taarifa sahihi zaidi.. “19 Tazama, tufani ya Bwana, yaani, ghadhabu yake, imetokea; ni dhoruba ya kisulisuli; itapasuka, na kuwaangukia ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. Kimiami kwa lugha ya sasa ni dirisha kubwa lililo katika ghorofa. Katika lugha/Kiswahili cha zamani ilimaniisha hivyo. Sasa ukisoma katika biblia ya kiingereza inaeleza wazi wazi kabisa maana yake ni nini!! Song of Solomon 2:9 [9]My beloved is like a gazelle or a young hart. Behold, he ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafari maneno ya uzima wetu.   Maandiko yanasema Neno la Mungu ni taa na mwangaza wa njia zetu   Zaburi 199:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”   Sasa katika ulimwengu wetu huu tunaoishi zipo njia za aina mbili tu ..

Read more

Shalom, jina la Bwana libarikiwe. Mithali 14:20 “Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana rafiki wengi” Angalia na hapa.. Mithali 19:4 Inasema “Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake”. Hizi ni Mithali kama zilivyoandikwa na mfalme Sulemani kwa hekima alizopewa na Mungu, ameainisha mafunzo na maonyo mbalimbali kuhusu maisha ya ..

Read more

Shalom. Hakuna chakula kilichokatazwa, kwa maana kinachomnajisi mtu, si kinachoingia bali kinachotoka. Pia tuangalie nyaraka mbalimbali za mitume zimasemaje kuhusu hili.. 1Timotheo 4:1-5 inasema.. “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao ..

Read more