Bali utafuteni kwanza ufalme wake. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakri maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Bwana Yesu aliwaambia maneno haya wanafunzi wake wale ambao tayari walikuwa wamekubali kumfata. Hakuwa anazungumza na wapagani. Kuna waliomuelewa anamaanishha nini na kuna wale ambao hawakumuelewa alikuwa anamaanisha nini. kama Yule kijana aliambiwa na ..
Archives : March-2025
Umepandwa kandokando ya vijito vya maji.?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Zaburi 1 1 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. 2 Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari ..
Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe, karibu tujifunze maneno ya uzima tusome Mathayo 9:2 [2]Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako. tunaona katika habari hii bwana Yesu anamwambia yule mgonjwa ajipe moyo mkuu hivyo hakumwita ..
Usishindane na zinaa ikimbie!. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele yote karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi kwamba zinaa(uasherati & uzinzi) kwamba ni tamaa za mwilini/hitaji la mwili lakini ukweli ni kwamba sivyo jambo hili ni vita inayoanzia ndani yaani ni vita vya rohoni baadae ndio vinatokea mwilini ..
Wekeza muda wako mwingi katika mambo ya Rohoni. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. “Usipoyatendea kazi mambo ya rohoni utayatendea kazi mambo ya mwilini.” “ Usiposhugulika na mambo ya rohoni utashughulika na mambo ya mwilini.” “ Usipotembea katika roho utatembea mwilini” Watoto wa Mungu wengi katika nyakati hizi ..
Iepuke injili ya namna hii. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Injili ni habari njema kutoka kwa Mungu kwa watu wote. Yenye lengo au kusudi la kumrejesha mwanadamu katika mpango mkamilifu kwa Mungu. Wakati fulani nilipokuwa katika kuhubiri(uinjilisti/kuwashuhudia watu). Nilikutana na dada mmoja ambae hakutaka kabisa kuhubiriwa habari ..
Usifungue mlango wa dhambi katika maisha yako. Jina la Mwokozi wetu wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Dhambi ni kitu kinachoweza kukusababishia madhara makubwa sana katika maisha yako ya wakovu( hata kuharibu hatima yako). Na siku zote dhambi huwa inakuja kwa namna ya kawaida sana yaani kukufanya uone hakuna madhara yoyote ..
“Lakini si kama nitakavyo,bali kama utakavyo wewe” Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Andiko hili tunalipata katika kitabu cha Mathayo 26:39 wakati ambapo Bwana Yesu anakaribia kwenda kusurubiwa.. Sasa katika mstari huu kuna mambo kadhaa ya kujifunza.. Sote tunafahamu kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu Yesu alikuwa Mungu ..
Unafahamu matumizi sahihi ya Damu ya Yesu Kristo? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kumekuwa na matumizi yasiyokuwa sahihi kwa Wakristo wengi kuhusu damu ya Yesu Kristo huenda kwa kukosa maarifa ya kutosha kuhusu Damu ya Yesu Kristo. Wakristo wengi wanaitumia damu ya Yesu Kristo katika njia isiyokuwa sahihi ..
Lipa gharama hizi ukitaka kumjua Mungu.* Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ikiwa umemuamini Yesu Kristo ni lazima kuna gharama lazima uzilipe ili kumuelewa zaidi vinginevyo hutamuelewa kabisa hata kidogo na utaendelea kuwa mtu wa kawaida kabisa siku baada ya siku na mpaka unakufa. Watu wengi wanatamani kumjua ..