Archives : August-2026

DHAMBI NI KAZI INALIPA!! Shalom mtu wa Mungu karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Ni vizuri kufahamu kuwa biblia inaposema mshahara wa dhambi ni mauti…haimaanishi adhabu ya dhambi ndio mauti!…hapana bali MSHAHARA! Zingatia hilo neno “mshahara”…adhabu maana yake unapewa mateso kulingana na kile kitu ..

Read more

KUTOKUJUA DHAMBI HAKIKUFANYI USIPOKEE MSHAHARA WAKE!! Ndugu yangu fahamu kuwa ukitenda dhambi kwa kutokujua kuwa umetenda dhambi au ukitenda dhambi kwa kujua…zote mbili zinaleta matokeo yanayofanana…na matokeo yenyewe ni mauti…kwasababu biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti. Ni sawa na mtu aliyepanda mbegu yake shambani na mwingine aliiangusha pasipo kujua mtaroni na kuendelea na shughuli ..

Read more

ZAMANI ZILE ZA UJINGA MUNGU ALIJIFANYA KAMA HAZIONI  Matendo ya Mitume 17:30 “Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu. [31]Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu”. Zamani ..

Read more

FIKIRI KAMA JINSI MUNGU ANAVYOFIKIRI Shalom nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Kufikiri kama anavyofikiri Mungu ndio kunakompa uhalisia mtu kumuelewa Mungu na kutembea katika ushindi. Wakristo wengi tunafikiri kwa namna tofauti kabisa Mungu anavyofikiri ama anavyoona ndio maana tunajikuta tunapitia maisha magumu kuanzia rohoni ..

Read more

JE! SI ZAIDI BABA YENU WA MBINGUNI? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima, Karibu tujifunze maandiko. Katika maisha ya kila mmoja wetu, kuna ushuhuda ambao Mungu ameuandika.Bwana ameruhusu kila mtu apitie hatua mbili kuu muhimu maishani mwake nazo ni KUWA MTOTO, NA KUWA MZAZI ( BABA/MAMA) Mungu hakuona vema mtu atokee tu duniani akiwa ..

Read more

WITO WA YONA Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Leo tutajifunza wito wa Mungu kupitia mtu mmoja katika biblia ambaye aliitwa na Mungu, lakini yeye akaamua kujiepusha na sauti ya Mungu akaenda katika njia zake, na huyu ..

Read more

UTUFUNGULIE BARABA  Luka 23:18 “Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. Ili kuelewa vyema hii habari, tusome tena katika.. Mathayo 27:11 “Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamwuliza, akasema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Yesu akamwambia, Wewe wasema. [12]Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. [13]Ndipo Pilato akamwambia, ..

Read more

FUKUZA MAWAZO MABAYA NDANI YAKO Watu wengi wamekuwa watumwa wa zinaa kwasababu ya kukubaliana na mawazo mabaya ya zinaa yanapokuja ndani yao, hivyo wanajikuta kwa nje wanajizuia kuzini lakini kwa mioyo yao wanazini. Ni vizuri kufahamu kuwa hakuna maombi yatakayokusaidia kutoka katika huu utumwa, isipokuwa ni wewe kufukuza/kuondoa na kukataa kabisa uzinzi ndani yako. Biblia ..

Read more

FAHAMU KWA UNDANI KUHUSU JINA LA YESU Nakusalimu katika jina kuu lipitalo majina yote mbinguni na duniani JINA LA YESU KRISTO, karibu tujifunze elimu ya ufalme wa Mungu. Unajua kati ya kitu chenye nguvu kwa mtu ukiacha DAMU ni JINA, mtu mwenye Jina kubwa atakuwa na nguvu nyingi za kiutawala na heshima kuliko mwingine, jina ..

Read more