Archives : September-2026

UWEZA WA MUNGU HUTIMILIKA KATIKA UDHAIFU  2 Wakorintho 12:9 ”Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu. Tukitaka kuona uweza wa Mungu, tukubali kuwa dhaifu. Udhaifu ninaouzungumzia sio ule wa kuwa na makosa fulani, hapana, huo unaweza ukawanao ..

Read more

JIJARIBUNI WENYEWE. 2 Wakorintho 13:5 “Jijaribuni wenyewe kwamba mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa mmekataliwa”. Wokovu wa kweli sio ule tunaokuona huku nje, au uwapo Kanisani, bali ni pale unapokuwa mwenyewe… kwasababu huku nje tunaweza kukuona uko vizuri, unaonyesha matendo ya utakatifu, unavaa kwa kujistiri vizuri, ..

Read more

USIYAREJEE TENA MAFUNDISHO YA KWANZA!! Wagalatia 4:8 ‘Lakini wakati ule, kwa kuwa hamkumjua Mungu, mliwatumikia wao ambao kwa asili si miungu. [9]Bali sasa mkiisha kumjua Mungu, au zaidi kujulikana na Mungu, kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena? Ikiwa umeokoka kweli kweli na ukajua njia ya kweli ..

Read more

MSIMZIMISHE ROHO 1 Wathesalonike 5:19 Msimzimishe Roho; Kumzimisha Roho ni kuzuia utendaji kazi wake ndani yako. Roho Mtakatifu anashirikiana na sisi kutimiza wajibu wetu kwa Mungu na hata kwa wanadamu. Kwa mfano moja ya wajibu tuliyonayo kwa Mungu ni kumfanyia ibada katika Roho (kuomba, kusifu, kusoma Neno lake, n.k), Sasa Roho Mtakatifu anapokusukuma uingie kwenye ..

Read more

SISI NI WARITHI WA BARAKA ZA MUNGU  Wagalatia 4:1 “Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, angawa ni bwana wa yote; [2]bali yu chini ya mawakili na watunzaji, hata wakati uliokwisha kuamriwa na baba. [3]Kadhalika na sisi, tulipokuwa watoto, tulikuwa tukitumikishwa na kawaida za kwanza za dunia. [4]Hata ulipowadia ..

Read more

VITU VINNE VYENYE MWENDO WA KUSHANGAZA. Shalom mtu wa Mungu karibu tujifunze biblia, Tukisoma kitabu cha Mithali sura ya 30 tunamwona mtu mmoja aliyeitwa Aguri bin Yake akiandika mithali ambazo ni mahusia aliyompa mtu mmoja anayeitwa Ithieli. Kati ya mambo mengi aliyokutana nayo katika maisha yake kuna manne yaliyomshangaza sana nayo ni haya tunayoyasoma katika ..

Read more