Archives : October-2026

KAA MBALI NA UCHAFU WOTE WA MWILI NA ROHO. 2 Wakorintho 7:1 “Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, NA TUJITAKASE NAFSI ZETU NA UCHAFU WOTE WA MWILI NA ROHO, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu”. Uchafu wa mwili ni upi? Ni matendo yote machafu yanayofanyika katika mwili mfano uasherati, ulevi, usagaji, ulawiti, ufiraji, ..

Read more