Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Tusome maandiko ili tupate maana iliyo bora, rahisi na yenye kueleweka. Mithali 17:16 “Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu?”. Hili andiko linamaanisha kuwa ni ile Hali ya mtu kuwa na uhitaji wa ..
Archives : November-2024
Bwana Yesu asifiwe Karibu tuyatafari maneno ya uzima Chakula kinachozungumziwa hapa ambacho kimetolewa sadaka kwa sanamu ni chakula ambacho kimepewa au kimetolewa maagizo ya kishetani ili kitumike mfano katika mambo ya kimila au kwa waganga na wachawi. Ndiyo hapo utakuta kabila Fulani wanafanya tabiko, kisha wanatumia mnyama yeyote labda mbuzi, ng’ombe, labda kwa ajili ya ..
Jina la Mwokozi wetu Yesu lisifiwe, Karibu the jifunze neno lake lililobeba uzima ndani yake… Swali: Je huu mti wa mvinje ulikuwa ni mti gani? Jibu: Kulingana na maandiko mti huu tunausoma katika habari ya Nuhu baada ya Mungu kumpa maagizo atengeneze safina kwa kutumia mti huu wa mvinje Mwanzo 6:13-14 [13]Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho ..
Nakusalimu kupitia Jina la Yesu, ndugu Karibu katika kipindi kingine ili tuweze kutafakari maneno ya uzima… SWALI: Je kutokana ni kile alichokifanya sulemani, kufanya kosa la kuwajengea miungu madhabahu, baada ya kushawishiwa na wake zake,.sasa kupitia jambo hili sulemani hakusamahewa kabisa hiyo dhambi 1 Wafalme 11:4-9 [4]Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza ..
Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kulingana na neno la Bwana kutoka katika maandiko haya Mathayo 12:24 [24]Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. Hivyo maana ya beelzebuli ni mkuu wa Pepo pia tujifunze zaidi katika neno hili la Mungu ili tupate maana ..
Ufunuo 14:13 [13]Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; KWA KUWA MATENDO YAO YAFUATANA NAO. Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana Yesu Kristo Mwokozi wa ulimwengu. Hivi umewahi kujiuliza mtu akifa Nini kitamtokea huko aendako? Kama hukuwahi kulijua hilo, ..
Shalom, ni kwa Neema za Bwana tuyatafakari Maneno yake ya uzima… Leo natamani tujifunze kitu kingine pengine unakifahamu lakini naamini utaongeza maarifa zaidi, Wengi wetu hasa watu wa Mungu wamekuwa wakiogopa kitu kinachoitwa dhambi, jambo ambalo ni jema sana tena linalompendeza Mungu, kwasababu hata Neno lake linatutaka tukae mbali na dhambi,kwa kuwa ni machukizo ..
Nakusalimu katika jina la mwokoziwetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Tulijifunza hapo nyuma kidogo juu ya somo linalosema ”fahamu utendaji kazi wa shetani katika kuwaangusha watoto wa Mungu” kama hukufanikiwa kulisoma nakushauri ulipitie hata kama utakuwa umeshalisoma lipitie tena litakuongezea kitu kikubwa. Katika somo hili la leo tutakwenda ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni wazi kila mtu katika huu ulimwengu hasa kwa jamii ya watu wanaomwamini Yesu Kristo wanatamani kupendwa na si kwamba Mungu hawapendi la! Mungu hakuna mtu ambae anamchukia hata mpagani anampenda! Na ndio maana anataka aokoke asiende katika jehanum ya moto. Lakini ..
Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Katika nyakati hizi za Mwisho Shetani anazidi kufanya kazi yake kwa ufanisi zaidi tofauti na hapo mwanzo ilivyokuwa. Kama Mkristo ni muhimu sana kulifahamu jambo hili ili uzidi kujithatiti na kusimama vyema na Kristo. Ni muhimu kumuelewa adui yako mbinu anazozitumia ili kukuangamiza. Ukishindwa ..