Archives : January-2023

Katika maisha tunayoishi, kila mtu anauona wema wa Mungu ambao haujifichi, haijalishi kama huyo mtu maisha yake ni ya dhambi na anasa, au ni ya haki na utakatifu, makundi hayo yote ya watu yanauona wema wa Mungu kwani wote anatupa afya, wote anatupa pumzi na uhai, wote tunaoa na kuolewa, wote tunapata watoto, na ndio ..

Read more