Hili ni swali linaloulizwa na watu wengi, kwamba siku ile Kaini alipomuua ndugu yake Habili, biblia inasema alikimbilia nchi ya Nodi. Lakini swali linakuja huko Nodi alitolea wapi mke, wakati kipindi hicho dunia ilikuwa bado haina watu, isipokuwa ni Adamu, Hawa, pamoja na Kaini na Habili peke yao? Mwanzo 4:13 “Kaini akamwambia Bwana, Adhabu yangu ..