Archives : October-2022

Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo lipewe sifa milele na milele. Leo kwa neema za Mungu tutamtazama na kujitajifunza kwa mfalme mmoja wa Israeli (mtumishi wa Mungu), aliyefahamika kama Yeroboamu Mwana wa Nebati, kwa sababu biblia inasema, mambo hayo ya agano la kale yaliandikwa kwa mifano ili kutuonya sisi wat..

Read more