Archives : October-2022

Kuna jambo ambalo tunapaswa kulifahamu katika habari ya Danieli na yale maandishi yaliyoandikwa kwa vidole vya mwanadamu (kiganja cha mkono alichokiona mfalme Belshaza kikiandika katika ukuta), kwa sababu habari hiyo haikuandikwa tu kama hadithi fulani ya kujifurahisha ambayo haina funzo wala maudhui yoyote yale, bali kipo kitu cha kufahamu na kujifunza katika habari hiyo, kwani biblia inasema, kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa ..

Read more

Sanamu zisizonena zinazozungumziwa hapo sio kitu chochote kilichojiinua ndani ya mwanadamu kuliko Mungu hapana, bali ni zile sanamu zote zilizochongwa kwa kazi ya ufundi stadi wa mikono ya wanadamu na kisha kupambwa kwa dhahabu na fedha kwa lengo la kiibada, kuzihusianisha ..

Read more

Karibu tena kwa mara nyingine katika mfululizo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishayatazama baadhi ya hayo makanisa na mafundisho yao potofu huko nyuma katika sehemu zilizopita, hivyo, ukiona mahali ulipo katika kanisa lako ni moja wapo ya hayo, huna budi kuchukua hatua ya kutotoka katika kanisa hilo la uongo na kuachana na mafundisho yao, kwani biblia ..

Read more

JIBU: Mambo ya nyumba ambayo mfalme Hezekia aliyoambiwa kuyatengeneza sio jengo la kifalme alilokuwa akiishi ndani yake, hapana! Bali ni mambo ya mwili wake wa damu na nyama, ambao siku zote unapinga kufanya mapenzi ya Mungu, hiyo ndiyo nyumba aliyoambiwa kuitengeneza, kwani mwili huu tulio nao ndio nyumba ya maskani yetu ya hapa duniani, maandiko yanasema hivy..

Read more

Shalom! SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Karibu ..

Read more