
Hii ni Sehemu ya tisa (09) ya makala yet..
Tukisoma sura ya pili na mstari wa 14 wa kitabu cha maombolezo ya Yeremia, tunaona jinsi ambayo Roho Mtakatifu kwa kupitia maandiko hayo ya Maombolezo ya Yeremia, jinsi anavyoendelea kuomboleza hata sasa juu ya watu wake (kanisa) na juu ya ulimwengu mzima kwa ujumla kutokana na ubaya ule ..
JIBU: Krismasi haipo sehemu yo yote ile katika maandiko matakatifu, na wala maandiko hayajasema popote pale kuwa Kristo alizaliwa Tarehe 25 ..
Tunaposoma habari ya mtume Petro (baada ya kutoka katika nyumba ya Kornelio), na wale ndugu waliokuwa Yerusalemu, kuna jambo kubwa na la umuhimu sana ambalo sisi kama kanisa la Kristo tunapaswa kulifahamu katika neema ya wokovu..
JIBU: Maneno hayo mtume Paulo alimwandikia Timotheo (na sisi pia), juu ya watu fulani, kwamba, tujiepushe na watu wa aina hiyo, watu ambao wanafikiri utauwa au kuishi maisha ya kumpendeza Mungu katika Kristo ni njia ya kupata pesa, a..
SWALI: Mtume Yohana kwenye maono yake, aliwaona wafu wakubwa kwa wadogo wamesimama mbele ya kiti cha enzi (mbele za Mungu), kisha na VITABU VIKAFUNGULIWA. Swali ni je! Hivyo vitabu ni vipi a..
Mstari huo unawahusu watu wote wanao tawala, au wenye dhamana ya kuongoza watu fulani au kundi fulani la watu, awe kiongozi wa kiserikali, kiongozi wa famalia au kiongozi w..