JIBU: Silaha ya nia aliyokuwa nayo Kristo ambayo na sisi tunapaswa kujivika, ni NIA NA KUSUDI la kukubari kutesaka na kufa, kuliko kushindwa kutimiza kusudi la Mungu la yeye kufa msalabani ili watu wa mataifa yote wapate wokovu, hiyo ndio nia iliyokuwa ndani Bwana wetu na Mwokozi ..
Archives : July-2022
Mbegu iharibikayo ni ile ya mwili wa damu na nyama, ambayo wanadamu wote tunazaliwa katika hiyo kutoka kwa Adamu wa kwanza. Kila mtu aliyezaliwa kwa mapenzi ya mwili na damu, huyo ni mbegu iharibikayo kwa sababu, kupitia kwa Adamu wa kwanza ndipo uharibifu ulipoingia, yaani ardhi kulaaniwa, na mbaya z..
JIBU: Mjumbe wa agano la kwanza, au agano la zamani, yaani maagizo ya Mungu (torati) alikuwa ni n..
Matayo 24:26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, ms..
Makuhani wa Mungu katika biblia ni watu waliotiwa mafuta na kuteuliwa na Mungu kwa kazi zote za ibada mbele za Mungu kwa ajili ya watu wake, mfano; upatanisho wa dhambi, kufukiza uvumba n.k na watu hawa ndio waliokuwa na NAFASI AU UWEZO wa kumsogelea Mungu kwa ukar..
JIBU: Si sawa kimaandiko hata kidogo. Kumekuwa na mafundisho ambayo yanafundisha watu kufanya sala au maombi kwa malaika fulani, mfano; kuna watu wanafundisha mafundisho ya rozali ya malaika mkuu mikaeli na kusema ..
Jibu ni ndio na si sawa kabisa kwa mwanamke wa Kikristo kuvaa suruali kwani ni MACHUKIZO mbele za Mungu kwa mwanamke yeyote anayefa..
Neno mama kanisa asili yake ni kutoka katika lugha ya kilatini “Mater Ecclesiae” ambalo tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni mama kanisa. Jina hili lilitolewa rasmi na papa Paulo wa VI wa kanisa katoliki kwa heshima ya Maria kama mama wa kanisa. Lakini je? Maria ni mama wa kanisa la Kristo? Na kanisa la Kristo ..
Maungamo aliyoyaungama Bwana Yesu Kristo siku ile mbele ya pilato, ni juu ya TUMAINI LA UFALME UJAO WENYE UZIMA ..
Hukumu ya ibilisi inayozungumziwa hapo ni ile hukumu aliyoipata ibilisi kutokana na kujivuna kwake, yaani kushushwa, hiyo ndiyo hukumu itakayo mpata kila ajivunaye na..