JIBU: Tofauti na wengi wetu tunavyodhani leo hii kuwa mtume aliyekuwa mkuu na wa kwanza kuliko wote kwenye biblia alikuwa ni Petro, na wengi tunadhani hivyo kutokana na maneo kadha wa kadha ambayo Bwana aliyokuwa akiyanena juu..
Archives : July-2022
Tofauti na inavyodhaniwa na wengi kuwa, mke anapaswa kutii kila kitu kutoka kwa mumewe hata kama ni vitu viovu, hivyo kupelekea wake wengi katika ndoa zao kufanya dhambi mbele za Mungu kwa sababu tu wanataka ku..
“Mego”, limetokana na neno, kumega. Kitu chochote kilichomegwa, au kunyofolewa mahali Fulani, ndicho kinachoitwa “Mego”. Ni kipande kidogo katika kitu kizima. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Mithali 17:1 “Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi”. Maana yake ni kuwa, ni heri kuishi katika nyumba, ambayo kinachopatikana ni ..
Kabla ya kujibu swali hilo, tujiulize kwanza swali hili, je! Ni sahihi kwa wale ambao, tayari ni mke na mume kufanya kitendo hicho ndani ya kanisa? Kama si sahihi kwa watu ambao ni wana nd..
Jibu: Tusome.. Mwanzo 5:1 “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; 2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki AKAWAITA JINA LAO ADAMU, siku ile walipoumbwa”. Sio kwamba, Mungu alikosea, kuwapa jina moja, kana kwamba hakumuona mwanamke Hawa. Hapana, kulikuwa na sababu kubwa sana.. Mungu anavyoona sio ..
Tabia ya Uungu tutakayoshiriki ni ile ya mwili wa Utukufu wa Bwana wetu, na Mwokozi wetu Yesu Kristo, ambayo katika hiyo tutaishi milele pasipo kufa wala kuugua na kutawala naye hapa duniani baada ya karamu ya Mwana-Kondoo na y..
Hivi ni baadhi ya vifungu ambavyo utaweza kukutana na Neno hilo. Isaya 51:7 “Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao. 8 Maana nondo itawala kama vazi, na funza atawala kama sufu; bali haki yangu itakuwa ya milele, na wokovu wangu ..
Wengi wamekumbwa na madhara haya ya kuchukuliwa na mafundisho ya namna nyingine ya kujiepusha na vyakul..
Biblia ilitabiri kuwa, utafika wakati ambao Wakristo wengi watakapoyakataa (watakaposhindwa kuvumilia na kudumu katika) mafundisho yenye uzima ..
Neno la Mungu ni kinyume chake, lenyewe lipo vile vile, haijarishi dunia nzima inafanya nini ili kwenda na wakati, haijarishi wanadamu wataamini nini ili kuendana na wakati, lenyewe litabaki..