MAANA PARAPANDA ITALIA 1 Wakorintho 15:51-52 “Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, [52]kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; MAANA PARAPANDA ITALIA, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika”. Ni wazi kuwa kila mtu analijua hili, kwamba tunaishi kabisa ukingoni mwa nyakati na Yesu Kristo amekaribia kurudi ..
Archives : June-2025
Vitu vitano ambavyo hupaswi kupunguza kabisa katika safari ya imani. Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe milele na milele. Ikiwa we ni mkristo wa kweli, vipo vitu vitano ambavyo hupaswi kabisa kupunguza katika safari yako ya wokovu. Kwanza jambo ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa wokovu ambao tumeupokea bure kwa neema ya Yesu Kristo Bwana wetu ..
Kwanini Yesu ni njia ya kweli na uzima na pasipo kupitia kwake hatuwezi kumwona Mungu. Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kwanza ni vizuri kufahamu kigezo cha kumuona Mungu ni UTAKATIFU, na ndio maana biblia inasema.. “Tafuteni kwa bidii kuwa na ..
Vitu vitatu ambavyo unapaswa kufanya mara tu baada ya kuokoka ili ufikilie utakatifu. Nakusalimu katika jina la Mwokozi YESU KRISTO Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana. Kama kijana, mzee na mtu yoyote uliyemwamini Yesu Kristo na kukubali kumfuata, vipo vitu vitatu ambavyo ni lazima uvifanye ili uweze kufikilia utakatifu. Kwanini utakatifu? Ni kwasababu pasipo ..
Kwa nini tunaomba toba/kutubu ikiwa tumesamehewa Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Yapo mafundisho ya kishetani yanayowadanganya Wakristo wengi kwamba “ sio lazima kuomba toba tayari umeshasamehewa dhambi zako kwa nini unaanza kulia tena Mungu nisamehe,Nirehemu yaani unamkumbusha Mungu akusamehe na wakati alishakusamehe nk” ndugu yangu ikiwa umepatwa ..
Nini maana ya Mhubiri 11:3b Mhubiri 11:3 Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; NA MTI UKIANGUKA KUELEKEA KUSINI, AU KASKAZINI, PAANGUKAPO ULE MTI, PAPO HAPO UTALALA. Swali nini maana ya maneno haya, mti ukianguka kuelekea kusini au kaskazini Paangukapo ule mti papo hapo utalala? Kwanza kabla hatujapata maana ya maneno hayo, hebu kwanza tuone mti unawakilisha ..
Hauko hapa duniani kwa bahati mbaya Shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Hakuna mwanadamu anaeishi hapa duniani kwa bahati mbaya yaani kama ajali tu akajikuta yupo la! Kila mmoja duniani hapa haijalishi alipatikana kwa njia gani lakini hayupo kwa bahati mbaya. Ikiwa umeokoka upo ndani ya Yesu Kristo basi ..
WIVU ANAOUTAKA BWANA Jina kuu tukufu la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa wafalme wa dunia libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu. Siku ya leo kwa neema za Bwana, tutajifunza wivu anaoutaka Bwana tuwe nayo, nikisema wivu anaoutaka Bwana maana yake kuna wivu asioutaka. Sasa kabla hatujafahamu wivu anaoutaka Bwana, hebu ..
Tunatakaswa au tunajitakasa katika Yesu Kristo? Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Katika Biblia maneno yote haya kutakaswa na kujitakasa yote yametumika sehemu tofauti tofauti na ni muhimu kuzingatia Muktadha wa kila habari maneno hayo yanapotajwa/kuandikwa. Na biblia imeweka wazi katika kila Eneo maneno ..
Fahamu Maana halisi ya Kuabudu. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuabudu ni Neno ambalo limezoeleka kwa Wakristo wengi sana. Karibu Wakristo wote wanalisema neno hili. Wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili, nk lakini wengi haswa hawafahamu/hatufahamu maana halisi ya Neno hili “ Kuabudu ” ni neno ambalo ..