Archives : July-2024

Mawaa ni kasoro au dosari yoyote inayofanya kitu fulani kipoteze sifa yake iliyo nzuri. Kwa mfano mtu mwenye uso mzuri akipata jipu kwenye shavu tutasema ana mawaa kwa sababu lile jipu limeharibu uso wake… Au mtu aliyenunua bati kwa ajili ya kuezekea nyumba yake lakini bati lile likawa limetoboka hapo tunasema lina mawaa. Lakini pia ..

Read more

Neno hili tunapoliona katika maandiko lina maana mojawapo kati ya hizi tatu, 1.Kushiba kiasi cha kutotaka tena kile ulichokipokea awali 2.Kuwadharau watu wengine na kuwafanyia mambo ambayo hupaswi kuyafanya 3.Kujigamba /kujiinua na kudhani wewe unajitosheleza mwenyewe Vifungu vifuatavyo limetumika kwa maana ya kushiba.. Mithali 25:17[17]Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; ..

Read more

Shalom Mwana wa Mungu,  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mtume Paulo katika mstari huu ametaja mambo makuu matatu kabla ya kwenda kuyatazama kwa undani tusome mstari huo unasemaje! Wafilipi 3:2  “Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao” Mtume Paulo alikuwa akilionya ..

Read more

Shalom, Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Yohana 12:35 ” Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako.” Jibu: katika maisha yake hapa duniani Bwana Yesu alijilinganisha na Nuru ya Ulimwengu huu(Jua); na alisisitiza hili sana katika mafundisho yake, ..

Read more

JIBU.. Kuhadaa ni kudanganya yaani kutumia njia ya uongo/ ya mkato ili kiufanikisha jambo fulani… Tunalipata neno hili Katika vifungu hivi, Mwanzo 31:20 “Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia” Mithali 12:5 “Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa” Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na ..

Read more

Tusome… Mwanzo 37:6 “akawaambia, Tafadhalini, sikieni ndoto hii niliyoiota. 7 Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu. 8 Ndugu zake wakamwambia, Je! Kweli wewe utatumiliki sisi? Nawe utatutawala sisi? Wakazidi kumchukia kwa ajili ya ndoto yake, na kwa maneno yake”.   ..

Read more

Mhubiri 10:15 “Kazi yao wapumbavu huwachosha kila mmoja, Maana hajui hata njia ya kuuendea mji.” Kama tunavyojua ni wazi kuwa Kila mtu anatamani kuishi mjini kuliko mashambani; Hii ni kwa sababu mjini kuna huduma zote kwa urahisi zaidi, pia ni mahali pa raha kiasi kwamba watu hufanya kazi zao mashambani ili wakaziuze mijini, kadhalika nakufaidi ..

Read more