Archives : October-2025

Madhara ya kupunguza Maombi. Katika Maisha usijaribu kufanya kosa la kupunguza maombi…Ni heri ukapunguza muda wa kufanya mambo mengine ambayo unaona ni ya muhimu lakini usipunguze kuomba hata kidogo!..Kama tayari ulishaanza kuwa muombaji, halafu ukaanza kupunguza unamtengenezea adui nafasi ya kufanya uharibifu mkubwa sana katika maisha yako. Na kitu ambacho watu wengi huwa hutujui ni ..

Read more

TU UZAO WA IBRAHIMU Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi TU UZAO WAKE IBRAHIMU, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?.” Je! we ni mzao wa Ibrahimu? Uzao wa Ibrahimu ni upi? Uzao wa Ibrahimu ni uzao wa YESU KRISTO, kulingana na kuwa Yesu Kristo ndiye aliyebeba ahadi za Mungu kwa Ibrahimu. ..

Read more

Ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu. Mathayo 26:20 “Basi kulipokuwa jioni aliketi chakulani pamoja na wale Thenashara. [21]Nao walipokuwa wakila, alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu atanisaliti. [22]Wakahuzunika sana, wakaanza kumwuliza mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana? [23]Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika kombe, ndiye atakayenisaliti. [24]Mwana wa Adamu aenda zake, ..

Read more

JINSI YA KUFUNGUA MLANGO WA MAFANIKIO UTANGULIZI: Ni muhimu kujua hili: lengo kuu au kiini cha Wokovu ulioletwa na BWANA YESU KRISTO sio sisi tuwe matajiri au tupate mafanikio ya huu ulimwengu!. Mafanikio ya dunia hii ni moja ya faida za mwisho mwisho kabisa za kusudi la msalaba wa Bwana YESU kwasababu walikuwepomatajiri kabla ya ..

Read more

TU WASAFIRI HAPA DUNIANI. 1Mambo ya Nyakati 29:15 “Kwani sisi tu wageni mbele zako, NA WASAFIRI, KAMA WALIVYOKUWA BABA ZETU WOTE; ni kama kivuli siku zetu duniani, wala taraji ya kukaa hapana”. Mtu yeyote anayejiita ni mkristo ni wazi kuwa yupo safarini, Na kama yupo safarini ni lazima afahamu malengo yake ni nini, kwamba anatoka ..

Read more

  JIPONYE NAFSI YAKO USITAZAME NYUMA Ndugu yangu ni vizuri kufahamu kuwa hii dunia tayari imeshatamkiwa hukumu, na hakuna maombi yoyote yanayoweza kuifuta hukumu ya huu ulimwengu. Yaliyotamkwa na kuandikwa yatatimia kama yalivyo.. Hivyo kilichobaki kwetu ni sisi kuondoka na kujiokoa nafsi zetu, na katika safari yetu, hatupaswi kurejea/kutazama nyuma..tunapaswa tukazane kuzidi kusonga mbele, kwasababu ..

Read more

WAFU WATAFUFULIWA Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo, Mfalme wetu, Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla hatujaendelea mbele, Naomba usome ushuhuda huu mfupi utakuwa msingi wa somo letu. “Ilikuwa ni tarehe 17/10/2025 majira ya alfajiri, Bwana alinipa huu ujumbe kupitia ndoto. Niliona miili ya watu wengi ikifufufuka kutoka ..

Read more

TUNAHITAJI KUSAIDIANA Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Katika ukristo kusaidiana sisi kwa sisi ni jambo la muhimu sana na ni moja ya silaha ya kumshinda adui. Hebu tuitafakari habari hii kwa pamoja kisha tujifunze somo. 1 Mambo ya Nyakati 19:8 “Basi Daudi aliposikia habari akamtuma Yoabu, na jeshi ..

Read more