Archives : April-2024

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Wapunga Pepo kama tunavyosoma katika maandiko Matendo ya Mitume 19:13. Biblia inataja ni wana wa Skewa, Sasa maana nyingine ya kupunga Pepo ni KUFUKUZA PEPO. Sasa zipo namna mbali mbali za kufukuza pepo/kupunga Pepo. Moja ni kupitia Watumishi wa Mungu na nyingine ni kutumia Waganga na ..

Read more

Mithali 16:33[33]Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo;Lakini hukumu zake zote ni za BWANA. JIBU.. Kipindi cha zamani kura zilipigwa kwa namna nyingi nyingi, na njia iliyoonekana rahisi na nyepesi ni hiyo, ambayo ni Kipande kidogo cha mfano wa shuka,kilitumiwa kukusanya kura walizopiga watu ambazo waliaziandika kwenye vibao vidogo vidogo au mawe na kisha huchanganywa,kukoroga na ..

Read more

1 Yohana 2:16-17[16]Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. [17]Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele. Kiburi cha uzima, kiburi hichi kinapatikana ndani ya mtu pale ambapo wingi wa mali ..

Read more

Mithali 28:8[8]Yeye azidishaye mali yake kwa riba na faida, Humkusanyia mtu awahurumiaye maskini.. Hapo biblia imemzungumzia mtu anakuyekusanya mali zake kwa  faida na  riba, ni yule mtu anayejipatia mali kwa njia ambazo hazina uhalali wowote na kuwadhulumu walio katika hali ya chini/ wanyonge… Katika biblia kipindi cha wana wa Israel,Mungu aliwapa agizo wasiwatoze riba pindi ..

Read more

Maana ya neno Azali ni “MILELE” yaani kitu kisichokuwa na mwanzo wala mwisho. Hivyo Yesu kuitwa Mwana wa Azali inamaanisha Yesu ni Mwana wa Mungu asiye kuwa na mwanzo wala mwisho. SWALI: Ni kweli Yesu ni Mwana wa Azali? Ndiyo ni kweli, Yesu ni Mwana wa Azali Kwa sababu yeye ni mwana wa Mungu maandiko ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika Maandiko/Biblia mahali pengine unapokuta mahali Neno limeandikwa “Karama” si wakati wote maana yake inabakia kuwa vilele tu la!, maana karama kwa maana nyingine ni “Zawadi” Ukisoma walaka wa Mtume Paulo kwa Warumi Kuna mahali anasema “….Bali Karama ya Mungu ni uzima wa milele..” Sasa je ..

Read more