Category : Uncategorized

Shalom karibu katika kujifunza Maandiko matakatifu Wagalatia 6:1 “Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.” JIBU: Hapa Maandiko yanatupa mwongozo Namna sahihi ya kuwarejesha upya wale wapendwa Walioanguka dhambini. Biblia inatuasa tuwarudishe kwa upole ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu tena tujifunze Neno la Mungu kama maandiko matakatifu yanavyosema katika zaburi 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Kuligana na swali letu ili tuweze kuelewa zaidi tusome kwanza kifungu hiki Ufunuo 21:8 “BALI WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na ..

Read more

Choyo ni kitendo cha mtu kuwa na tamaa kubwa, mfano tamaa ya mali, uongozi, au chakula, na hii mara nyingi huambatana na ubinafsi, yaani umimi na kutumia vitu Kwa pupa ilimradi tu kumyima au kuwanyima watu wengine wasipate. Mithali 21:26 “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi”. Tabia hii si ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Korbani ni neno limeonekana mara moja tu!, katika Biblia.(Marko 7:11) sasa maana yake ni nini?. Marko 7:8-13  “8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.  9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.  10 Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama ..

Read more

Ebenezer/Ebeneza ni neno la Kiebrania lenye maana ya “Stone of Help” yaani JIWE LA Msaada. Neno hili tunalipata katika kitabu cha 1 Samweli 4:1. Sehemu ambayo walikutanika wana wa Israeli kwenda kupigana na majeshi ya Wafilisti. Na hata walipokutanika na kupanga vita Israeli walipokwenda kupigana na Wafilisti Israeli wengi yapata watu elfu nne walipigwa. 1 ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe! Dhamiri au Dhamira. Ni hisia za ndani kabisa zinazomsaidia Mtu kupambanua jema na baya. Na hii haitokani na kufundishwa lakini Mungu kakiweka ndani yetu. Dhamiri ni mfano wa mtu wa ndani ambae yeye anatusahihisha na kutushuhudia pale tunapotaka kufanya jambo lisilopaswa kama uovu nk. Hivyo wakati mwingine utakuta unakosa furaha au Amani ..

Read more

Uasherati. Ni kitendo cha kufanya tendo la ndoa kwa makubaliano ya hiari kwa watu wawili mwanamke na mwanamume ingali bado hawajaowana. Neno hili alilizungumza Bwana wetu Yesu Kristo. Mathayo 5:32[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya UASHERATI, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.” Hivyo ikiwa umewahi kufanya ngono ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Katika Agano jipya biblia imeandikwa kwa Lugha ya kiyunani yaani Kigiriki. Na kutafasiriwa kwa lugha mbali mbali!, Sasa katika Lugha Yetu ya Kiswahili Neno la Mungu linatajwa katika sehemu nyingi kama “NENO “. sehemu nyingi tunasoma utakua “Neno la Bwana likanijia/Neno la Bwana likamjia” Hivyo tunaliona katika sura ..

Read more

Shalom Bwana Bwana Yesu apewe sifa. Beelzebuli katika Agano la Kale alikuwa ni mungu wa Wafilisti(Philistine) kwa sasa inajulikana kama Palestina. Pale Mfalme Ahazia alipoanguka kutoka juu kule Samaria akaugua sana hivyo akatuma wajumbe waende wakamuulize kwa Beelzebuli mungu wa Ekroni kwamba je atapona ugonjwa huo. 2 Wafalme 1:[2]Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba ..

Read more