
Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini Mungu alilifananisha Kanisa na mwanamke? Au kwanini Mungu alifananisha mahusiano Yake na Kanisa kama mahusiano ya Mume na mke wake? Yeremia 31:31Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. 32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika ..