DHAMBI NI KAZI INALIPA!! Shalom mtu wa Mungu karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Ni vizuri kufahamu kuwa biblia inaposema mshahara wa dhambi ni mauti…haimaanishi adhabu ya dhambi ndio mauti!…hapana bali MSHAHARA! Zingatia hilo neno “mshahara”…adhabu maana yake unapewa mateso kulingana na kile kitu ..
Category : Dhambi
ACHA DHAMBI!! ACHA DHAMBI!! Hakuna muujiza wowote wa kumfanya mtu aache dhambi, ni yeye mwenyewe aamue kuacha kabisa kwa akili zake. Unapodhamiria kuacha dhambi kwa vitendo kabisa ndipo msaada wa Mungu utakuja ndani yako na kukusadia, lakini kama unasubiri muujiza ukushukie tu hivi hivi nakuambia ukweli utasubiri sana, wala usidhani kuna maombi yatakufanya uache dhambi ..
NIFANYE NINI NIACHANE NA DHAMBI?? Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, Neno la MUNGU wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab.119:105). Ninataka kuacha sigara, ugoro, pombe, uzinzi, kujichua na dhambi zote…sasa nimejitahidi kweli kuacha, nimeomba na kuombewa vya kutosha lakini bado ninajikuta ninarudia huu mzunguko wa dhambi. Nifanyaje niachane ..
USIDANGANYWE NA DHAMBI Waebrania 3:12-13 “Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hai. [13]Lakini mwonyane kila siku, maadamu iitwapo leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa UDANGANYIFU WA DHAMBI. Dhambi huwa inadanganya, inaweza ikakuahidi kuwa utapata mafanikio baada ya kuiba, baada ya kusema uongo, baada ya ..
USIUIGE UBAYA 3Yohana 1:11 “Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. Kama wana wa Mungu hatupaswi kuiga mambo mabaya kwa watu wa kidunia. Hutupaswi kuiga uvaaji mbaya, mitindo ya kidunia, anasa, ulevi, uasherati, uhuni, na kanuni za ulimwengu huu. Warumi 12:1″Basi, ndugu zangu, nawasihi, ..
JIHADHARI NA DHAMBI YA UONGO. Shalom, karibu tujifunze biblia. Biblia inasema waongo wote hawataurithi ufalme wa Mungu, bali sehemu yao ni ziwa la moto kama ilivyo kwa wazinzi, wachukizao, waabuduo sanamu n.k Ufunuo wa Yohana 21:8 “Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, NA WAONGO WOTE, ..
LAKINI SASA YAWEKENI MBALI NANYI HAYA YOTE. Wakolosai 3: 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. [9]Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; Biblia imetuhasa tuweke mbali mambo hayo yote yaliyotajwa hapo juu; yaani hasira, ghadhabu, uovu, ..
KWASABABU MSIPONISADIKI YA KUWA MIMI NDIYE MTAKUFA KATIKA DHAMBI ZENU. Yohana 8:21-24 “Basi akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta; nanyi mtakufa katika dhambi yenu; mimi niendako ninyi hamwezi kuja. [22]Basi Wayahudi wakasema, Je! Atajiua! Kwa kuwa asema, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja? [23]Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu ..
Je mzizi wa dhambi umekatwa ndani yako? Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu. Mzizi maana yake ni chanzo cha kuwepo kwa kitu fulani au jambo Fulani, au tatizo fulani. Kwa mfano, ili mti uweze kustawi vizuri na kuzaa matunda ni lazima kuwe na mizizi inayoenda ..
DHAMBI YA KUTOLIPA MADENI INAVYOWEZA KUMPELEKA MTU MOTONI Kumekuwa na tabia ya wana wa Mungu wengi kukopa pasipo kulipa madeni wanayodaiwa, wengine hudhani ya kwamba wanapotubu tu Mungu anawasamehe madeni ya watu, HAPANA huko ni kujidanganya na kukosa maarifa, mtu anapotubu Mungu anamsamehe yale madeni anayodaiwa na Mungu mwenyewe tu nayo ni madeni ya dhambi ..