Archives : June-2022

Tofauti na mahali/eneo linaloitwa Arabuni, ambalo limetajwa sehemu kadha wa kadha katika biblia, kwamfano ukisoma vifungu hivi utaliona..

Tofauti na mahali/eneo linaloitwa Arabuni, ambalo limetajwa sehemu kadha wa kadha katika biblia, kwamfano ukisoma vifungu hivi utaliona.. Yeremia 25:24 “na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani”; Ezekieli 27:20 “Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi. 21 Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa ..

Read more

Ufisadi ni nini katika maandiko?(Waefeso 5:18)

Tofauti na inavyofahamika au kuzoeleka, kuwa ufisadi ni kitendo cha kukosa uaminifu kwa kuhujumu fedha za shirika Fulani au taasisi Fulani, kwa lengo la kujipatia faida zako binafsi. Lakini tukirudi katika biblia Neno ufisadi limetumika kueleza tabia nyingine tofauti. Na tabia yenyewe ni uasherati, uzinzi,  umalaya/ Ukahaba uliovuka mipaka, ambao haujali hata jinsia, umri, au ..

Read more