Archives : October-2024

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe karibu tena tujifunze neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu Kumekuwa na maswali mengi juu ya jina hili “Mola” limeonekana kuwa likitumiwa na watu fulani, wa imani fulani tu, lakini huwezi kuta limetumika mara nyingi katika Imani nyingine mara nyingi utakuta wakitumia jina la Mungu tu. Je kutumia Jina ..

Read more

Andiko hili limekuwa likitafsiriwa tofauti na lilivyo, lakini Leo tutajifunza  linamaanisha nini/maana yake ni nini? Mithali 24:26 “Aibusu midomo atoaye jawabu la haki” Jawabu la haki linalomaaniashwa hapa ni kuwa mtu yeyote mwenye haki, ni yule anayeamua Kufunguka kwa wenzake kwa kumweleza ukweli wote pasipo kumficha jambo lolote ili kumweka huru na kumuepusha na jambo ..

Read more

Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo lizidi kutukuzwa milele, karibu tujifunze Neno la Mungu, Hili ni jambo la muhimu na kuu kulijua sana wewe ambaye ni mwanadamu na unavuta pumzi ambayo hatutoi malipo yoyote au kuigharamia kwa chochote, Jambo la kumfahamu Yesu Kristo ni la umuhimu kwetu kwasababu yeye ndiye chanzo cha ukombozi wetu, kuishi ..

Read more

Ni siku nyingine Bwana ametupa tuyatafakari Maneno yake, karibu.. JIBU Ukisoma maandiko kwenye kitabu cha Isaya,utagundua unabii alioutoa nabii isaya kuhusu jina la mkombozi atakayekuja ulimwengu lilikuwa ni Imanueli (Isaya 7:14) kuonyesha kwamba ni lazima litimie hilo, kwasababu maandiko hayawezi kusema uongo.. Lakini tuendelee kusoma zaidi ili tuzidi kujifunza kama wanafunzi wanaotamani kupata uelewa.. Tusome ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu wetu ambalo ndilo taa yetu.. Hakuna jambo kubwa na la muhimu kama hatma yako ya mwisho ni nini, wengi tumekuwa tukichezea maisha yetu, kwa kufanya tunayoyataka, ila kiuhalisia sivyo Mungu anavyotaka tuwe, kumbuka maisha unayoyaishi leo ndio jawabu la kesho yako jinsi litakavyokuwa, huna budi kujitafakari sana kila wakati ..

Read more

  Shalom mwana wa Mungu, Wewe kama mwana wa Mungu lazima ufahamu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na ushirika, na ushirika unatokana na kushiriki Katika Mambo fulani, na ili ushirika ule ulete matokeo ni lazima uambukizwe aina ya sifa au tabia ya kile unachoshiriki nacho kwa wakati… Ikiwa kuna ushirika unaleta sifa njema, basi fahamu ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kila siku unaposoma maandiko hususani katika maandiko siku zote tembea na neno hili.  “ 1 Wakorintho 10:11“Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.” Unaposoma Habari za wana wa Israeli jifunze kutoka ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, Karibu katika kujifunza Vifungu  hivi vitatusaidia kujua  jibu kulingana  na swali hapo juu Kutoka 14:28 [28]Yale maji yakarudi yakafunikiza magari na wapanda farasi, hata jeshi lote la Farao lililoingia katika bahari nyuma yao; hakusalia hata mtu mmoja. Tusome tena Kutoka 15:19 [19]Kwa maana farasi za Farao na magari yake na wapanda farasi ..

Read more