PIGENI MBIO NAMNA HIYO. “1Wakorintho 9:23-27 “Nami nafanya mambo yote kwa ajili ya Injili ili kuishiriki pamoja na wengine. [24]Je! Hamjui, ya kuwa wale washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? PIGENI MBIO NAMNA HIYO, ILI MPATE. [25]Na kila ashindanaye katika michezo hujizuia katika yote; basi hao hufanya hivyo kusudi ..