Archives : September-2026

FUATILIA NDOTO HII, UTAJIFUNZA KITU. (Ndoto ya dada Marry kutoka Kenya) Bwana Yesu asifiwe mtumishi, naomba nisaidie kupata tafsiri ya hii njozi maana imenijia kwa uzito sana: Nilikuwa nasoma kitabu cha ufunuo…nilipomaliza nikaenda kupumzika, Nikaota nipo natembea njiani…mimi na mama mmoja, yeye alikuwa akipita katika njia pana (barabaraba) na katika njia hiyo kulikuwa na maji ..

Read more

HATUNA NIA NYINGINE. Wagalatia 5:10 “Nina matumaini kwenu katika Bwana, ya kwamba hamtakuwa na nia ya namna nyingine. Lakini yeye anayewafadhaisha atachukua hukumu yake, awaye yote”. Nia yetu ni kumtafuta Bwana kwa mioyo yetu yote, na hatumtafuti kwasababu tunataka mambo yetu yaende sawa, hatumtafuti kwasababu tunataka tubarikiwe.. tuwe na maisha mazuri, hatuendi kanisani ili tupate ..

Read more

BARAKA NA LAANA ZINAZOAMBATANA NA WATOTO WA MUNGU  Marko 9.41 “Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, KWA KUWA NINYI NI WATU WA KRISTO, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake. 42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, AFADHALI AFUNGIWE JIWE LA KUSAGIA SHINGONI MWAKE, NA KUTUPWA BAHARINI”.  Bwana Yesu alisema Ishara ..

Read more

Sehemu ya kwanza 01 A. Shalom nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Karibu katika sehemu ya kwanza hii fatilia somo hili ni muhimu sana litakusaidia kupitia somo hili ukawe mwanzo wako mpya wa kuishi katika ukweli huu. Kuna mafundisho  mengi yasiyokua sahihi katika mwili wa ..

Read more

UNAONA FAHARI JUU YA NINI?? Wagalatia 6:14 “Lakini mimi, hasha, nisione fahari juu ya kitu cho chote ILA MSALABA WA BWANA WETU YESU KRISTO, ambao kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu”. Wapo watu wanaona fahari juu ya elimu zao, nyumba zao nzuri, magari yao ya kifahari, waume zao, wake zao wazuri, watoto ..

Read more

TULICHAGULIWA TANGU AWALI  Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze Maneno ya Mungu, kwa Neema zake, leo tutajifunza somo linalosema, Kuchaguliwa kabla ya kuwekwa misingi ya Ulimwengu. Waefeso 1:5-14 “Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe KWA NJIA YA YESU KRISTO, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. [6]Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika ..

Read more

AINA MBILI ZA HEKIMA  Nakusalimu katika jina kuu la Bwana Yesu Kristo, karibu tujifunze maandiko matakatifu. Na leo tutajifunza aina mbili za hekima katika biblia, Neno la Mungu linasema katika.. Yakobo 3:13-18 N’nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima. [14]Lakini, mkiwa na wivu ..

Read more

MWE NA HASIRA ILA MSITENDE DHAMBI. Shalom Mtu wa Mungu, karibu tujifunza Maandiko..Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi juu ya HASIRA YA KIMUNGU…Tusome Mstari ufuatao kabla ya kuendelea ambao utatusaidia kuelewa kiini cha somo letu. Waefeso 4:26-27 “Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; [27]wala msimpe Ibilisi ..

Read more