Archives : September-2026

MAANA TU KAZI YAKE  Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze biblia, kitabu chenye muongozo wa maisha yetu na maneno ya uzima wa roho zetu. Neno la Mungu linasema.. Waefeso 2:8-10 “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; [9]wala si kwa matendo, mtu awaye ..

Read more

VUA VAZI LA UONGO  Waefeso 4:25 “Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake”. Uongo ni vazi kama ilivyo ukweli…nao ni vazi la haki, lakini uongo ni vazi la uovu… hivyo ni vazi la kuvuliwa. Mkristo yeyote hapaswi kuvaa vazi hili, ni vazi lenye ..

Read more

TUSIIFUATISHE KAWAIDA YA ULIMWENGU HUU Waefeso 2:1-7] “Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; [2]ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata KAWAIDA YA ULIMWENGU HUU, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi; [3]ambao zamani, sisi sote nasi tulienenda kati yao, katika tamaa za miili ..

Read more

NJIA PANA NA NJIA NYEMBAMBA  Nitatambuaje ile njia pana na njia nyembamba? Bwana Yesu alisema… “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, NA NJIA NI PANA iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, NA NJIA IMESONGA iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.” (Mathayo7:13-14) Sasa tutajuaje hii ..

Read more

MAANA SIJUI NIFANYALO!! Warumi 7:14-25 “Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi. [15]Maana sijui nifanyalo, kwa sababu lile nilipendalo, silitendi; bali lile nilichukialo ndilo ninalolitenda.” Je umewahi kufanya jambo au hata sasa unafanya na hulipendi lakini ni kama unatumikishwa hivi. Kwa ..

Read more

UNAJALI KUHUSU KAZI YA BWANA Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama watu tuliomwamini Yesu Kristo lazima tuwe ni watu wa kutafakari kila siku katika maisha yetu ni kipi tulichokifanya katika kazi ya Mungu? Je tunajali kazi ya Mungu? Tunaitazama kazi ya Mungu ..

Read more

SHUKA KILINDILINI UKITAKA KUMSIKIA MUNGU  Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tutafakari pamoja Neno la Mungu. Je umekuwa ukitafuta kusikia sauti ya Mungu na hausikii, basi leo kupitia somo hili utaenda kujua ni kwanini hauisikii sauti ya Mungu ingawa Mungu anasema kila siku. Isaya 50:2 “Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, ..

Read more

ZITAFAKARINI NJIA ZENU Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Kwanza kabla hatujaendelea mbele, ni vizuri kufahamu kuwa si kila tatizo linasababibishwa na ibilisi kama wengi wanavyomsingizia shetani, ni kweli shetani anahusika kwa kiasi kikubwa kusababisha matatizo kwa watu, lakini pia yapo matatizo mengine tunajisabibishia sisi wenyewe. Kwamfano tusome maandiko yafuatayo tuelewe.. Kumbukumbu ..

Read more