MADHARA YA KIBURI KATIKA MAISHA YA MWAMINI Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakri maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Ikiwa tunatamani kutembea na Yesu na kumuelewa sana kama watakatifu inatupasa kuwa ni wanyeyekevu, watu tusio na kiburi(kujiinua) tofauti na watu wanavyofikiri kwamba kiburi ni muonekano wa nje jinsi alivyo. ..
Archives : August-2026
WENYEJI WETU UKO MBINGUNI. Shalom mtu wa Mungu, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo hilo ndilo linalotufanya tuishi mpaka sasa hivi mimi na wewe. Wafilipi 3:20 “Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo; [21]atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ..
JIHADHARI NA MBWA!! Wafilipi 3:2 “Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao”. Mbwa wanaozungumziwa hapo sio wanyama, ni aina ya watu wenye tabia kama ya mbwa. Tabia mojawapo chafu waliyonayo mbwa ni umalaya, utaona mbwa mmoja anakatiza njiani anatembea na mbwa kumi wakifanya kile kitendo hadharani kabisa wala hawana cha kuogopa. Hiyo ..
SAA YA UFUFUO UMEKARIBIA!! Yohana 5:25 “Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai. [26]Maana kama vile Baba alivyo na uzima nafsini mwake, vivyo hivyo alimpa na Mwana kuwa na uzima nafsini mwake. [27]Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana ..
MOABU AMESTAREHE TANGU UJANA WAKE. Yeremia 48:11 “Moabu amestarehe tangu ujana wake, naye ametulia juu ya sira zake, wala hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine, wala hakwenda kufungwa; kwa hiyo ladha yake anakaa nayo, wala harufu yake haikubadilika. [12]Basi, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo nitampelekea wamiminao, nao watammimina, nao watamwaga vyote vilivyomo vyomboni ..
JE UMEFUNDISHWA KUPENDANA? Neno la Mungu linasema.. 1 Wathesalonike 4:9 “Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. Upendo ni jambo ambalo linahitaji darasa, sio kitu kinachotokea tu mara moja baada ya kuokoka. Baada ya kuokoka.. Roho Mtakatifu anaanza kukupitisha kwenye hili darasa la upendo, atakuletea wale watu usiowapenda..waje ..
JE WAJUA KUWA MWILI WAKO NI HEKALU LA MUNGU? Yohana 2:19 “Yesu akajibu, akawaambia, Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha. [20]Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu? [21] LAKINI YEYE ALINENA HABARI ZA HEKALU LA MWILI WAKE”. Hapa Bwana Yesu alinena mwili ..
UHAI WETU UMEFICHWA PAMOJA NA KRISTO. Wakolosai 3:3 Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. [4]Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu”. Jina la YESU KRISTO libarikiwe daima, karibu tujifunze Neno la Mungu taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Mtu anapotii ..
ZIKIMBIE TAMAA ZA UJANANI; 2 Timotheo 2:22 “Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, PAMOJA NA WALE WAMWITAO BWANA KWA MOYO SAFI”. Ujanani kuna vishawishi vingi,na kuna tamaa nyingi,…sasa hili andiko haliwahusu vijana ambao hawajaokoka, hapana linawahusu vijana wakike na wakiume waliookoka..kwani mtu ambaye hajaokoka hawezi kuzikimbia tamaa za ..
ACHA DHAMBI!! ACHA DHAMBI!! Hakuna muujiza wowote wa kumfanya mtu aache dhambi, ni yeye mwenyewe aamue kuacha kabisa kwa akili zake. Unapodhamiria kuacha dhambi kwa vitendo kabisa ndipo msaada wa Mungu utakuja ndani yako na kukusadia, lakini kama unasubiri muujiza ukushukie tu hivi hivi nakuambia ukweli utasubiri sana, wala usidhani kuna maombi yatakufanya uache dhambi ..