FAHAMU KUHUSU UFUFUO WA UZIMA NA WA HUKUMU. Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Injili, uweza wa Mungu uuletao wokovu. Bwana Yesu alisema maneno haya.. Yohana 5: 25 “Amin, amin, nawaambia, SAA INAKUJA, NA SASA IPO, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai. 26 Maana kama vile Baba alivyo na ..
Archives : May-2026
TUPO UKINGONI MWA NYAKATI Shalom ndugu, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Nakukaribisha tuyatafakari kwa pamoja maneno ya uzima, maadamu rehema zake ni mpya kila siku asubuhi(Maombolezo 3:22-23). Leo tutajifunza tena jinsi ule mwisho wa mambo yote ulivyokaribia sana. Watu wengi wanajua tunaishi katika siku za mwisho.. hata watoto wadogo wanajua, hata wapagani ..
KWANINI KIZAZI HIKI HAKITAPITA !! Kwasababu Bwana mwenyewe alisema.. “Amin, nawaambia, KIZAZI HIKI HAKITAPITA, hata hayo yote yatakapotimia. 35 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe”. (Mathayo24:34-35) Hichi kizazi alichokizungumzia Bwana hapa sio kile kizazi cha akina Petro… kwasababu kile kilishapita miaka 2000 iliyopita. Hivyo kizazi alichokuwa anazungumzia hapa ni kile kilichoshuhudia mtini ..