Archives : March-2022

Je kubandika picha ya yesu au kuweka vinyago nyumbani ni dhambi?

SWALI: Je kubandika picha au kuweka vinyago nyumbani ni dhambi? Kwani biblia inasema.. Kutoka 20:4[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. JIBU: Msisitizo upo katika mstari unaofuata wa 5 ambao unasema.. Kutoka 20:5[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, ..

Read more