Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Sehemu 01 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tunakuwa ni wazito wa kusoma maandiko ni kwa sababu hatujui uweza au nguvu iliyoko katika maandiko/Neno la Mungu. Wengi wetu tunasoma tu kama sehemu ya Ukristo wetu na tunajikuta hakuna kitu kikubwa ..
Author : Paul Elias
Unataka Mungu akutumie? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ukweli ni kwamba Mungu anatamani sana kufanya kazi na sisi na sisi pia tunatamani sana kufanya kazi na Mungu na ajidhihirishe kwetu ulimwengu umgeukia kama libido cha baba zetu(Mitume) lakini kuna mambo ambayo yanamzuia Mungu kufanya kazi kikamilifu na sisi. ..
Ni nini unachokiona kwa Yesu?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Je! Yesu Kristo katika maisha yako unamtazama kama nani? Na ni nini unachokiona na kukitaka kwa Yesu Kristo? Wengi wetu tutasema Yesu Kristo tunamtazama kama Mwokozi, tutasema tunachokiona kwake ni ukombozi,tutasema tunachokiona na tunataka atufanyie nini hapa ndio ..
Mtu hataishi kwa Mkate tu,ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu Je! Unaishi kwa kila neno linalotoka katika kimywa cha Mungu? Mathayo 4:4″ Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.”… Na kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu ni lipi? Ikiwa hufahamu ..
Lugha iliyonenwa siku ya pentekoste ilikuwa haieleweki kwa akili za kibinadamu? Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu katika mjadala huu tulitafakari neno la uzima! Swali:”Je ni kweli ile lugha iliyonenwa wakati wa kunena kwa lugha(siku ya pentecoste haikuwa inaeleweka kwa lugha ya kawaida?Mbona katika matendo 2:3-11 watu walielewa kile kilichokuwa kinanenwa na ..
Amka utoke katika upofu wa Kiroho. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mtume Paulo anawaandikia watakatifu waliokuwa Thesalonike maneno haya.. 1 Wathesalonike 5 5 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa nuru, na wana wa mchana; sisi si wa usiku, wala wa giza. 6 Basi tusilale usingizi kama wengine, ..
Kuna umuhimu wowote wa kunena kwa Luga?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari meneno ya uzima. Nini maana ya kunena kwa Lugha?. Ni kuongea au kuomba kwa Lugha ya kipekee ya rohoni, ambayo haieleweki kwa akili ya kawaida . Lugha hii si Lugha ya kawaida ya binadamu bali ni Lugha ya Rohoni ..
Shukuruni kwa kila jambo Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.! Umewahi kufikiri kwa ni nini Maandiko yanatutaka tushukuru kwa kila jambo? Ni jambo ambalo si jepesi haswa pale unapopitia katika magumu si rahisi kushukuru kwa ajili ya hayo magumu. Ni rahisi kumshukuru Mungu katika mazuri tu lakini katika ..
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele yote karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ipo tofauti kubwa kati ya mtu ambae amekua kiroho na ana karama za rohoni na mtu ambae anakarama za rohoni lakini ni mchanga katika roho yaani hajakua bado. Ni jambo ambalo linawachanganya Wakristo wengi wanashindwa kuelewa badala yake wanapoona mtu anafanya ..
Bali utafuteni kwanza ufalme wake. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakri maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Bwana Yesu aliwaambia maneno haya wanafunzi wake wale ambao tayari walikuwa wamekubali kumfata. Hakuwa anazungumza na wapagani. Kuna waliomuelewa anamaanishha nini na kuna wale ambao hawakumuelewa alikuwa anamaanisha nini. kama Yule kijana aliambiwa na ..