Author : Paul Elias

  Usifungue mlango wa dhambi katika maisha yako. Jina la Mwokozi wetu wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Dhambi ni kitu kinachoweza kukusababishia madhara makubwa sana katika maisha yako ya wakovu( hata kuharibu hatima yako). Na siku zote dhambi huwa inakuja kwa namna ya kawaida sana yaani kukufanya uone hakuna madhara yoyote ..

Read more

  “Lakini si kama nitakavyo,bali kama utakavyo wewe” Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Andiko hili tunalipata katika kitabu cha Mathayo 26:39 wakati ambapo Bwana Yesu anakaribia kwenda kusurubiwa.. Sasa katika mstari huu kuna mambo kadhaa ya kujifunza.. Sote tunafahamu kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu Yesu alikuwa Mungu ..

Read more

Unafahamu matumizi sahihi ya Damu ya Yesu Kristo? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe,  Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kumekuwa na matumizi yasiyokuwa sahihi kwa Wakristo wengi kuhusu damu ya Yesu Kristo huenda kwa kukosa maarifa ya kutosha kuhusu Damu ya Yesu Kristo. Wakristo wengi wanaitumia damu ya Yesu Kristo katika njia isiyokuwa sahihi ..

Read more

Lipa gharama hizi ukitaka kumjua Mungu.* Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ikiwa umemuamini Yesu Kristo ni lazima kuna gharama lazima uzilipe ili kumuelewa zaidi vinginevyo hutamuelewa kabisa hata kidogo na utaendelea kuwa mtu wa kawaida kabisa siku baada ya siku na mpaka unakufa. Watu wengi wanatamani kumjua ..

Read more

Fahamu mamlaka uliyonayo baada ya kuzaliwa mara ya pili. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe.. karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Pindi tunapozaliwa mara ya pili tunakuwa ni watu wa tofauti kabisa na kipindi tukiwa bado hatujazaliwa mara ya pili. Tunapozaliwa mara ya pili tunapokea nguvu/mamlaka ndani yetu ambayo hapo kabla hatukuwa nayo kama maandiko ..

Read more

Je! Baada ya kuokoka kuna kuomba maombi ya kujikomboa kwenye laana na vifungo?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Je! Ni kweli baada ya mtu kumwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wake na kusamehewa dhambi zake mtu huyo anakuwa bado kuna laana za ukoo na familia ..

Read more

Je! Utoaji wako unamgusa Mungu?. SEHEMU YA TANO(05)… Sehemu ya mwisho. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu katika sehemu ya mwisho wa somo letu hili. Katika kanuni namba nne tulijifunza juu ya kanuni ya kujidhabihu.  Na leo katika sehemu ya mwisho tutajifunza kanuni muhimu sana. #5 kanuni ya kubarikiwa. Siku zote “Matokeo ya ..

Read more

Amini anakukamilish. Bwana Yesu hakuja ulimwenguni kufa kwa ajiri ya kutondolea dhambi tu kisha kutuacha. Kusudi kuu la Yesu Kristo kweli ni kutuondolea dhambi(kutuweka huru) lakini haiishii hapo tu bali yeye anatukamilisha na kazi ya kutukamilisha ni ya kwake yeye wala sio sisi.. Hatujikamilishi sisi wenyewe bali yeye ndio anatuwezesha. Labda utajiuliza kukamilishwa kwa namna ..

Read more

SEHEMU YA NNE(04). Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele karibu katika mwendelezo wa somo hili. Ikiwa hukupata sehemu ya kwanza na ya pili na ya tatu, basi wasiliana nasi kwa ajiri ya kupata sehemu zilizopita. NB: unapomaliza kusoma omba. Leo tutakwenda kutazama kanuni ya nne (04). 4.kanuni ya kujidhabihu. Kama tunavyofahamu ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.. Mungu anatamani sana kutembea na sisi na kujifunua zaidi kwetu,  na anataka wakati mwingi sana tuhisi uwepo wake katika maisha yetu.. Lakini kuna mambo baadhi ambayo yanaweza kuwa kikwazo kwa sisi kushindwa kutembea na Mungu vizuri. Sasa ni muhimu sana kuyafahamu mambo ..

Read more